Sauti Mpya

Watu bilioni 2.4 hawana huduma za kujisafi - UNICEF na WHO

Kutokuwa na maendeleo katika utoaji huduma za kujisafi kunadhoofisha ufanisi uliopatikana katika kuhakikisha uhai wa watoto na kuongeza upatikanaji wa maji safi ya kunywa.

Sauti -

Liberia yapata kisa kipya kimoja cha Ebola:WHO

Shirika la afya duniani, WHO limepata ripoti za kisa kimoja cha Ebola huko Liberia, ikiwa ni wiki saba baada ya nchi hiyo kutangazwa kutokuwa na maambukizi ma

Sauti -

Harakati za kukwamua bonde la Mto Kagera zaleta nuru:

Mustakbali wa bonde la mto Kagera ambao unatiririka katika nchi nne za ukanda wa maziwa makuu barani Afrika umekuwa mashakani kwa muda mrefu kutokana na matumizi yasiyo endelevu ya rasilimali zake.

Sauti -

Ubaguzi wa rangi na vitendo vya kutovumiliana vyamulikwa na Baraza la Haki za Binadamu

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo limekuwa na mjadala kuhusu ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya wageni aina nyingine za kutovumiliana, pamoja na utekelezaji wa mpango wa kuchukua hatua ulioazimiwa mjini Durban, Afrika Kusini.

Sauti -

Wakimbizi wa ndani waongezeka maradufu Libya: UNHCR

Idadi ya wakimbiz iwa ndani nchini Libya imeongezeka mara mbili zaidi ikilinganishwa na idaid ya awali mwaka jana mwezi Septemba kutokana na kuongezeka kwa machafuko sehemu mbalimbali mwaka huu.

Sauti -

Mamilioni ya watoto Yemen hatarini kukumbwa na utapiamlo na kuhara

Machafuko yanayoendelea nchini  Yemen na athari za kiafya kwa taifa hilo vimesababisha mamilioni ya watoto kuwa katika hatari ya kupatwa na magonjwa ikiwamo  utapiamlo na kuhara limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -

UNMISS yagundua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Sudani Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umebaini ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliosambaa nchini humo na kudaiwa kufanywa na kikosi cha jeshi la SPLA na vikosi vyake katika mapugano ya hivi kativui jimnoni Unity. Tarifa zaidi na Joseph Msami.

(TAARIFA YA MSAMI)

Sauti -

Shirika la APHRC Kenya lapewa tuzo ya idadi ya watu

Kituo cha Utafiti kuhusu Afya na idadi ya watu barani Afrika, APHRC kimepewa tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya Watu ya Mwaka 2015 katika hafla maalum iliyofanyika kwenye Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Ugaidi hutatiza kufurahia haki za binadamu- Pansieri

Naibu Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Flavia Pansieri, amesema kuwa ugaidi hutatiza kufurahia kwa haki za binadamu, kwani vitendo vya kigaidi huvuruga serikali, hudhoofisha jamii, huhatarisha amani na usalama, na kutishia maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Sauti -

CUBA yatokomeza maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa Mtoto

Leo Cuba imetangazwa rasmi kuwa nchi ya kwanza duniani kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi na kaswende kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Taarifa zaidi na Joshua Mmali.

(Taarifa ya Joshua)

Sauti -