Sauti Mpya

Nchini Burundi, serikali kusaidia vituo vya habari vilivyoharibiwa wakati wa machafuko:Djinnit

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa nchi za maziwa makuu, Said Djinnit amesema serikali ya Burundi itasaidia kurejesha tena huduma za radio na televisheni zilizoharibiwa wakati wa maaandamano mapema mwezi huu kufuatia ghasia za kisiasa nchini humo.

Sauti -

Athari za tumbaku, biashara na kilimo chake

Tarehe 31 mwezi Mei ni siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku, Shirika la Afya Duniani WHO likieleza kwenye ujumbe wake wa siku hiyo kuwa,  tumbaku

Sauti -

Ustawi wa vijana wakabiliwa na changamoto lukuki : Alhendawi

Licha ya  juhudi za kuimarisha  ustawi wa vijana ambazo zimefanyika kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita bado kundi hilo linakabiliana na changamoto lukuki zikiwemo za kiuchumi na kijamii.

Sauti -

Baraza la Usalama lajadili vitendo vya kigaidi vinavyotishia amani na usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekuwa na mjadala kuhusu jinsi vitendo vya kigaidi vinavyotishia amani na usalama duniani, likimulika hasa tishio la wapiganaji wa kigaidi wa kigeni.

Sauti -

Wanamuziki wanufaikeje vya kutosha na matunda ya jasho lao?

Muziki kama zilivyo kazi nyingine za sanaa, huelimisha, huburudisha na hata kuhabarisha. Watunzi hukeshwa kutwa kucha wakipanga mashairi bora na mbinu bora za kufikisha ujumbe huo.

Sauti -

Tunaangalia ushirikiano wetu na FIFA:UM

Umoja wa Mataifa unafuatilia kwa makini ubia wake na shirikisho la soka duniani FIFA kufautia tuhuma za rushwa zinazowakabili maafisa wa ngazi za juu katika shirikisho hilo.

Sauti -

Mamia ya wakimbizi waliokuwa Burundi warejea makwao: UNHCR

Mwezi mmoja baada ya machafuko ya kisiasa nchini Burundi kulikosababisha kuzorota kwa ustawi wa kijamii na kiucumi husuani katika jiji la Bujumbura, wakimbizi waliokuwa wamejihifadhi nchini humo wameliomba shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi

Sauti -

Umoja wa Mataifa wakaribisha kuondolewa kwa adhabu ya kifo Nebraska, Marekani

Ofisi ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, imekaribisha kupigwa marufuku kwa adhabu ya kifo katika jimbo la Nebraska, mnamo Jumatano wiki hii, na hivyo kulifanya jimbo hilo kuwa la 19 kote nchini Marekani kufanya hivyo.

Sauti -

#PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

Ikiwa leo ni siku ya walinda amani duniani, Umoja wa mataifa unaendelea kupigia chepuo harakati za kuimarisha uwezo wa vikosi vyake kwa kuwapatia vifaa vya kisasa na watendaji wenye stadi za kutosha kuweza kuhimili changamoto ziibukazo kwenye medani.

Sauti -

Machafuko mapya Sudan Kusini yalaaniwa na UM

Viongozi mbalimbali wamelaani hatua ya kuibuka upya kwa mapigano dhidi ya raia nchini Sudan Kusini kati ya vikosi vya serikali SPLA na vile vya upinzani SPLA-IO katika majimbo ya Unity na Upper Nile ambapo waathiriwa wakubwa ni wanawake na watoto.

Sauti -