Sauti Mpya

Mshikamano katika kupambana na Ebola ni mfano wa kuendelezwa- Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema kuwa mlipuko wa Ebola umekuwa moja ya changamoto sugu zaidi iliyolikumba bara Afrika mwaka mmoja uliopita, lakini akaongeza kuwa amejivunia kazi iliyofanywa kwa ushirikiano katika kupambana na mlipuko huo.

Sauti -

Jamii bado zina hofu potofu juu ya Ebola- IFRC

Wakati idadi ya maambukizi mapya ya Ebola ikipungua sana katika nchi za Guinea, Sierra Leone na Liberia, bado jamii zinaogopa wafanyakazi wa kibinadamu, kwa mujibu wa Muungano wa Mashirika ya Msalaba mwekendu, IFRC.

Sauti -

Baraza la Usalama lalaani shambulizi Sinai, Misri

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya tarehe 29 Januari Kaskazini mwa Sinai, nchini Misri ambapo raia kadhaa waliuawa na wengine kujeruhiwa.

Sauti -

Nyanduga afarijika na jitihada za Somalia katika haki za binadamu

Awali wiki hii, waziri mkuu wa Somalia Omar Abdirashid Ali Sharmarke aliliteua Baraza jipya la mawaziri, wakati ambapo Somalia ilikuwa haina serikali tangu Desemba tarehe 6, mwaka 2014.

Sauti -

Operesheni dhidi ya FDLR yaongozwa na FARDC ikisaidiwa na MONUSCO

Operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la waasi wa FDLR iliyoanza alhamis inaongozwa na jeshi la kitaifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FARDC, likisaidiwa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -

Mitandao ya kijamii inaboresha mawasiliano kuhusu diplomasia

Matumizi ya mitandao ya habari ya kijamii kwenye Umoja wa Mataifa yana umuhimu wake kwani inapotumiwa na mabalozi, mitandao hiyo inawawezesha kutoa taarifa kuhusu shughuli za kidiplomasia upesi.

Sauti -

Graca Machel na harakati dhidi ya ndoa za mapema, ukeketaji na haki za wanawake nchini Tanzania

Mapambano dhidi ya ndoa za mapema,  ukeketaji kwa lengo la kuimarisha haki za wanawake kwa ujumla yamechukua sura mpya nchini Tanzania pale mwanaharakati wa haki za wanawake ambaye pia ni mjane wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Graca Machel alipofanya ziara maalum nchini humo.

Sauti -

Kumbukizi maalum ya mauaji ya Holocaust

Miaka 70 iliyopita katika kambi ya mateso ya Auschwitz Birkenau majeshi ya washirika yaliyokomboa wafungwa wengi wao wayahudi waliokuwa wanakumbwa na madhila ya kutisha ndani ya kambi hiyo.

Sauti -

Serikali zisituwakilishe , tunahitaji watu wetu kutoka mashinani: Watu asilia

Wakati mkutano wa jukwaa la  wataalamu wa jamii za watu wa asili ukimalizika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa  mjini  mjini New York, jamii hizo zinasema kuwa ni dhahiri hazina uwakilishi wa kutosha na mara nyingi erikali za nchi wanakotoka zimekuwa zikiwawakilisha kinyume na matwaka yao.Ka

Sauti -

Nchi za Asia na Pasifiki zaahidi kutokomeza Ukimwi ifikapo mwaka 2030

Nchi zipatazo 30 kutoka eneo la Asia na Pasifiki zimeahidi kuongeza kasi ya kubadili hali na kutokomeza ugonjwa wa Ukimwi katika eneo hilo ifikapo mwaka 2030. Ahadi hizo zimetolewa wakati wa mkutano baina ya serikali za Asia na Pasifiki kuhusu Ukimwi, ambao umefanyika wiki hii.

Sauti -