Kabrasha la Sauti


Cambodia yatakiwa kuunda tume kuchunguza utesaji magerezani

Kamati ndogo ya Umoja wa Mataifa inayohusika uzuiaji wa mateso imeitaka Cambodia kuunda tume huru ya kitaifa ili kuchunguza huduma wanazopewa watu walioko magerezani na wale wanaoshikiliwa kwa sababu mbalimbali.

Sauti -

Shambulio dhidi ya MINUSMA; Ban, Baraza la Usalama walaani vikali

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali shambulio dhidi ya vikosi vya kulinda amani na kuweka utulivu nchini Mali, MINUSMA, lililotokea Jumamosi huko Kidali na kusababisha vifo vya

Sauti -

Ban ahutubia Baraza la Usalama kuhusu ripoti ya silaha za kemikali Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, leo amelihutubia Baraza Kuu kuhusu ripoti ya uchunguzi katika madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria, kufuatia kukabidhiwa ripoti hiyo hapo

Sauti -

Haki za binadamu zaenziwa Somalia na Afghanistan

Wakati dunia ikiwa imeadhimisha siku ya haki za binadamu mapema wiki hii, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi mbalimbali unakabiliwa na changamoto kadhaa. Hata hivyo kuna juhudi za makusudi za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kutekeleza haki hizo.

Sauti -

Malkia Maxima ashuhudia usaidizi wa wakulima wadogo Dodoma, Tanzania

Malkia Maxima wa Uholanzi ambaye ni Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ujumuishwaji wa mifumo ya fedha kwa maendeleo,  amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini Tanzania ambayo

Sauti -

Baada ya M23 sasa ni vikundi vingine vyenye silaha: UM

Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani ndani ya Umoja wa Mataifa Herve Ladsous amesema baada ya utiwaji saini wa makubaliano ya amani ya Kampala kati ya serikali na kundi la waasi wa M23 yanayotarajiwa kuleta matumaini ya amani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC ,sasa ni wakati wa kushugh

Sauti -

Baraza la Usalama latakiwa kuchukua hatua kulinda waandishi wa habari mashakani

Baraza la usalama leo limeelezwa bayana madhila wanayokumbana nayo waandishi wa habari pindi wanapotekeleza majukumu yao na limetakiwa kuchukua hatua kuhakikisha wanalindwa dhidi ya vitendo hivyo.

Sauti -

Bahama yatakiwa kuwa na mkakati wa kitaifa wa kupambana na usafirishaji wa binadamu

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu usafirishaji wa binadamu Joy Ngozi Ezeilo ameitaka jumuiya ya Commonwealth ya Bahama kuendeleza na kutekeleza haraka mpango wa kitaifa wa haki za binadamu na unaozingatia waathirika ukilenga kupinga ukuaji wa usafirishaji wa binadamu.

 

Sauti -

Ukatili wa kijinsia wamulikwa nchini Tanzania

Hatimaye siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia zilizoanza tarehe 25 mwezi uliopita, zimehitimishwa wiki hii ya tarehe 11 Disemba.

Sauti -