Kabrasha la Sauti


Mswada wa ‘NGO’ Sudan Kusini watishia huduma za mashirika ya kiraia: Wataalam wa UM

Wataalam watatu maalumu wa Umoja wa Mataifa, leo wameonya kuwa mswada unaojadiliwa sasa na bunge la Sudan Kusini kuhusu mashirika yasiyo ya kiserikali, au NGOs, unatishia kazi na uhuru wa mashirika ya kiraia nchini humo.

Sauti -

Ndege yenye misaada ya kiutu yawasili Bangui

Ndege ya mizigo kwa ajili ya kutoa huduma za misaada ya kibinadamu kwa mamia ya raia walioathirika na machafuko yanayoendelea Jamhuri ya Afrika ya Kati imewasili leo Mjini Bangui ikiwa imesheheni tani 77 za huduma mbalimbali.

Sauti -

Visa vya homa ya kirusi cha korona vyaripotiwa nchini Saudi Arabia

Shirika la afya duniani WHO limefahamishwa kuhusu visa viwili vya homa ya kirusi cha korona nchini Saudi Arabia

Sauti -

Ban azungumza na Kiir; ataka vikosi vya usalama vizingatie sheria za kimataifa za kibinadamu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekuwa na mazungumzo kwa njia ya simu na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini kuhusu mapigano yaliyoanza mwishoni mwa wiki nchini humo na kusababisha sinforaham

Sauti -

Ripoti kuhusu silaha za kemikali Syria iliibua mzozo barazani: Balozi Araud

Rais wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi huu wa Disemba Balozi Gerard Araud wa Ufaransa amewaeleza waandishi wa habari kuwa ripoti iliyowasilishwa na Katibu Mkuu Ban Ki-Moon ya uchunguzi wa silaha za kemikali nchini Syria iliibua mjadala mkali badina ya wajumbe wa baraza hilo.

Sauti -

Maafisa wa jeshi Sudani Kusini wafunzwa kuhusu ulinzi wa raia

Mafunzo maalum ya ulizni wa raia yaliyohusisha jeshila Sudani Kusini yamefanyika nchini humo huku kukiwa na taarifa za shambulio la kupinduliwa kwa serikali hatua iliyolaaniwa na Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Magonjwa yatokanayo na wanyama yaongezeka kwa binadamu: FAO

Mwelekeo wa milipuko ya magonjwa duniani unazidi kubadilika kila uchao kutokana na ongezeko la idadi ya watu, kupanuka kwa kilimo na hata jinsi ya usambazaji wa chakula duniani, limesema shirika la kilimo cha chakula duniani

Sauti -

Bado hali nchini CAR ni tete, mkutano maalum haukwepeki - Balozi Samba

Balozi wa kudumu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR katika Umoja wa Mataifa Léopold Ismael Samba amesema licha ya majeshi ya Ufaransa kusaidia katika kurejesha utulivu nchini humo bado mgogoro unafukuta na kwamba taifa hilo linakabiliana na changamoto na bado safari kuondokana na mgogoro huo ni nd

Sauti -

Shambulio huko Aleppo laitia hofu UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linasema lina wasiwasi mkubwa juu ya ripoti kuwa shambulio la anga lililofanyika Jumapili

Sauti -

UNICEF yatilia shaka kuhusu maisha ya watoto CAR

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohisika na watoto UNICEF limesema kuwa kuongezeka kwa vitendo vya uvunjifu wa haki za watoto katika Jamhuri ya Af

Sauti -