Kabrasha la Sauti


Uzalishaji wa mbao washuka Ulaya-FAO

Ripoti  ya shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Mtaalam wa UM aitaka Malaysia kutowatenga maskini

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za chakula Olivier De Schutter amesema kuwa wakati taifa la Malysia likipiga hatua kuwa taifa lenye kipato cha juu, linapaswa kuhakikisha kwamba mafanikio hayo hayapatikani kwa mgongo wa uharibifu wa mazingira wala mgongo wa makundi ya watu wenye hal

Sauti -

Rider ,Pillay watambua mchango wa wahamiaji duniani

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kazi duniani ILO  Guy Rider pamoja na Kamishna wa haki za binadamu Navi Pillay  wametoa heshima zao kwa waha

Sauti -

Baraza la Usalama laelezea hofu kuhusu hali Sudan Kusini

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Umoja wa Mataifa wazindua mpango wa usaidizi kwa Haiti kwa 2014

Huko Geneva, Umoja wa Mataifa umezindua mpango wa mwaka ujao wa usaidizi kwa Haitiwa dola Milioni 169 kwa ajili ya wakazi Laki Nane wa jamii 35 kati ya 140 za nchi hiyo

Sauti -

Tutaimarisha mafunzo kwa jeshi na polisi Somalia : Kamanda Amisom

Baada ya kuanza rasmi shughuli zake akiwa kamanda Mkuu wa vikosi vya Afriak nchini Somalia (Amisom), Luteni Ginerali Silas Ntigurirwa ametangaza mipango yake mipya ya kustaawisha taifa la Somalia, ikiwa ni pamoja na kuongoza vikosi vya Amisom na kutafuta vifaa zaidi.

Sauti -

UNFPA yatoa ripoti ya ubakaji mashariki mwa DRC miezi sita ya kwaza 2013

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Miaka 50 ya uhuru wa Kenya yaenziwa New York

Taifa la Kenya limetimiza miaka 5o tangu lijipatie uhuru wake kutoka kwa wakoloni ,Uingereza.

Sauti -

Biashara baina ya nchi zinazoendelea yaongezeka: UNCTAD

Biashara ya bidhaa nchi za nje imeongezeka mara tatu duniani katika miongo miwili iliyopita na kufikia zaidi ya dola Bilioni 18 huku asilimia 25 ya kiwango hicho kikitoka nchi za kusini au zinazoendelea.

Sauti -

Baraza la Usalama lakutana kuhusu hali nchini Afghanistan

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili hali nchini Afghanistan katika muktadha wa amani na usalama wa kimataifa. Joshua Mmali na taarifa kamili.

(Taarifa ya Joshua)

Sauti -