Sauti Mpya

Uvutaji sigara waongezeka nchi maskini: WHO

Wakati shirika la afya duniani, WHO likiwa katika maandalizi ya mwisho ya shughuli ya kuanza kutia saini mkataba wa kimataifa wa kutokomeza biashara haramu ya

Sauti -

Hotuba ya Assad inabomoa wala haijengi: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza kusikitishwa kwake na hotuba ya jana ya Rais wa Syria Bashar Al Assad kwa wananchi wake ambayo amesema haichangii katika kumaliza machungu yanayokabili raia wa Syria bali inachochea ghasia zaidi.

Sauti -

Wakimbizi wapatiwa misaada huko Kivu Kaskazini

Baada ya ghasia kushamiri huko jimbo la Kivu Kaskazini na kusababisah watu kukimbia makwao na hata mashirika ya misaada kushindwa kusambaza huduma za dharura kwa wananchi, hatimaye kazi ya usambazaji imeanza baada ya kuwepo kwa utulivu siku za karibuni. Misaada inayotolewa ni ya kibinadamu.

Sauti -

Kurejea kwa wakimbizi wa Somalia ni vema lakini kuna changamoto

Mwezi huu wa januari kumeshuhudiwa kuanza kurejea kwa wakimbizi wa Somalia nchini mwao.

Sauti -

Bachelet kutembelea nchi tatu za Afrika Magharibi

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN-WOMEN Michelle Bachelet, atasisitiza umuhimu wa kuongeza ushiriki wa wanawake kama msingi wa kujenga taifa na maendeleo ya kiuchumi, wakati wa ziara yake Afrika Magharibiki.

Sauti -

Sayansi na Teknolojia yabakia ndoto kwa wanawake: ILO

Shirika la kazi duniani ILO linasema kuwa hatua zinastahili kuchukuliwa katika kutatua mwanya uliopo kweye uwakilishi wa wanawake kwenye n

Sauti -

Kurejea wakimbizi ni dalili nzuri: Balozi Mahiga

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Somalia, Balozi Augustine Mahiga ametolea ufafanuzi kitendo cha kurejea kwa wakimbizi wa Somalia nchini mwao ambapo amesema wakimbizi hao wanarejea kwa hiari yao wenyewe kutokana na kuimarika kwa hali ya usalama nchini mwao.

Sauti -

Mashirika ya misaada yajipanga kutathmini hali halisi CAR

Wakati ripoti zikieleza kuwepo kwa mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR na waasi, mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Dkt.

Sauti -

Misaada yasambazwa kwa wakimbizi DRC: UNICEF

Utulivu siku za hivi karibuni umechangia kuwepo usambazaji wa misaada ni bidhaa zingine muhimu zikiwemo blanketi na nguo kwenye meeneo waliko wakimbizi wa ndani kwenye mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo DRC.

Sauti -

Niko tayari kwenda Guinea-Bissau: Ramos-Horta

Mwakilishi mpya wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Guinea-Bissau Jose Ramos Horta amesema yuko tayari kwenda nchini humo kutekeleza majukumu ya kuwezesha kurejea kwa amani na utulivu.

Sauti -