Kabrasha la Sauti


Ban azungumzia mkwamo wa usafirishaji wa kifaa muhimu Syria

Kufuatia taarifa ya kwamba usafirishaji wa kifaa muhimu cha silaha za kemikali Syria uliokuwa ukamilike tarehe 31 mwezi huu unaweza kupata mkwamo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisitiza kuwa jitihada za kimataifa za kutokomeza mpango huo
Sauti -

Usafirishaji kifaa muhimu cha kemikali Syria waweza pata mkwamo: OPCW-UM

Tume ya pamoja ya Umoja wa Mataifa na Shirika la kimataifa la kupinga silaha za kemikali, OPCW ambayo ina jukumu la kuteketeza mpango wa silaha za kemikali nchini Syria, imesem inaendelea na kazi hiyo huku ikisema kuwa mipango ya kuondoa kifaa muhimu kinachohusika na utengenezaji wa silaha hizo i

Sauti -

Ban akaribisha makubaliano ya kusitisha mapigano Sudan Kusini na kuteuliwa wapatanishi wa IGAD

Normal

0

false

false

false

EN-GB

X-NONE

X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

DefSemiHidden="true" DefQFormat="false" DefPriority="99"

LatentStyleCount="267">

UnhideWhenUsed="false" QFormat="true" Name="Normal"/>

Sauti -

Ban ajadili na Rais wa Ufaransa kuhusu sintofahamu inayoendelea CAR

Hali inayoendelea hivi sasa huko Jamhuri ya Afrika ya kati ni ya kusikitisha na imesababisha  udharura unaokumba wananchi wote hususan wanawake na watoto, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika mazungumzo yake kwa simu na Rais wa Ufaransa François Hollande.

Sauti -

Wakimbizi Sudani Kusini washerehekea krisimasi kambini

Tarehe 25 na 26 mwezi huu wakristo duniani waliungana katika kuadhimisha sikukuu ya Krismasi yaani kuzaliwa kwa Yesu Kristo, ambaye kwa mujibu wa msingi wa imani yao ndiye mwokozi wa ulimwengu.

Sauti -

Miaka miwili na nusu toka Sudan Kusini ipate uhuru, hali si shwari

Mwezi Disemba mwaka 2013 ni miaka miwili na Nusu tangu Sudan Kusini ipate uhuru wake kutoka Sudan, baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Sauti -

Shambulio la kigaidi Beirut, Baraza la Usalama laani vikali

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa Ijumaa huko mjini Beirut, Lebanon lililosababisha vifo vya watano akiwemo Waziri wa zamani nchini humo Mohammed Chatah na majeruhi kadhaa.

Sauti -

Ban alaani shambulio mjini Beirut

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali shambulio la bomu katika gari mjini Beiruti lililouwa watu sita akiwemo waziri wa zamani wa biashara Muhamed Chatah na kujeruhi kadhaa .

Sauti -

Ofisi ya haki za binadamu yaelezea hofu yake kuhusu sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja Uganda

Ofisi ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa, hii leo imeelezea hofu yake kufuatia kupitishwa kwa mswada wa sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda mnamo Ijumaa ya tarehe 20 Disemba wiki ilopita.

Sauti -

UNHCR yashangazwa na mashambulizi yanayolenga kambi ya Hurriya mjini Baghdad

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeshutumu shambulizi lililofanywa eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa mjini

Sauti -