Sauti Mpya

Ban asikitishwa na kifo cha mlinda amani wa Tanzania DRC:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema amestushwa na kifo cha mlinda amani wa Kitanzania ambaye alijeruhiwa kwenye mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwisho wa mwezi Agost.

Sauti -

Wachunguzi wa UM wa silaha za kemikali Syria wanafanyia kazi ripoti ya mwisho.

Tume ya Umoja wa mataifa inayochunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali Syria Ijumaa imeendelea kuifanyia kazi ripoti ya mwisho ambayo inatarajia itakuwa tayari mwishoni mwa mwezi Oktoba. Flora Nducha na ripoti kamili

 (RIPOTI YA FLORA NDUCHA)

Sauti -

UNHCR yakaribisha uamuzi wa Brazil kutoa viza kwa wakimbizi wa Syria

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limekaribisha hatua ya kamati ya kitaifa ya Brazil iliyoeleza kusudia lake

Sauti -

Uganda yapata chuo cha uhamiaji ili kupanbana na uhalifu wa kimataifa

Katika mapambano dhidi ya uhalifu wa kimataifa ukiwemo ugaidi na usafirishaji haramu wa binadamu, Uganda imeanzisha chuo cha uhamiaji ili kuimarisha usalama kwenye mipaka yake. John Kibego wa radio washirika ya Spice FM Uganda, ana ripoti kamili

(Tarifa ya John Kibego)

Sauti -

OCHA yaelezea hofu yake dhidi ya mauaji ya raia Ituri

Shirika la Umoja wa mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA limeelezea hofu yake juu ya mauaji ya raia 10 wakiwemo wafanyakazi watatu wa afya kwenye eneo la Geti wilaya ya Ituri jimbo la Orientale nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Sauti -

Rasimu ya azimio kuhusu Syria yawasilishwa Baraza la Usalama, kupigiwa kura: Balozi Churkin

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Alhamisi limekuwa na mashauriano ya faragha kuhusu Syria ambapo Urusi na Marekani ziliwasilisha rasimu ya azimio kwa Syria, kufuatia shambulio la kemikali kwenye eneo la Ghouta, nje kidogo ya mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus,tarehe 21 mwezi uliopita.

Sauti -

Tunahitaji msaada kuimarisha miundombinu: Sudani Kusini

Makamu wa rais wa Sudan Kusini James Igga ni miongoni viongozi waliohutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusema nchi yake inahitaji msaada mkubwa jumuiya ya kimataifa hususani katika miundombinu baada ya mapigano kuathiri kwa asilimia kubwa njia za usafiri.

Sauti -

Arobaini ya Al Shabaab kutimia, ICC yatia mashaka:Rais Mohamoud

Rais Hassan Sheikh Mohamoud wa Somalia ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa uthabiti wa kikundi cha kigaidi nchini Somalia unazidi kuzorota lakini bado jitihada zaidi za kimataifa, kikanda na kitaifa zinahitajika ili kuweza kusambaratisha kabisa kikundi hicho kinachoendelea kuua raia wa

Sauti -

Ban akutana na kuzungumza na waziri mkuu wa Ethiopia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Kin Moon amekutana na kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ambaye ni mwenyekiti wa umoja wa Afrika AU.

Sauti -

Ujangili wa wanyamapori ni tishio kwa amani na usalama barani Afrika: Rais Bongo

Suala la ujangili wa ndovu na kifaru pamoja na uvunaji haramu wa mazao ya misitu limeangaziwa ndani ya Umoja wa Mataifa hii leo wakati wa kikao cha ngazi ya juu kilichoandaliwa na serikali ya Ujerumani na Gabon.

Sauti -