Sauti Mpya

Hata baada ya 2015 tuna wajibu wa kutimiza malengo yaliyosalia:Mwinyi

Waziri wa afya wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi amesema pamoja na serikali ya Tanzania kutimiza lengo la nne la milenia ambalo ni kupunguza vifo vya watoto wa chini ya miaka mitano, taifa hilo bado lina wajibu wa kuhakikisha malengo mengine yaliyosalia yanatimizwa hata baada ya ukomo wa malengo hayo

Sauti -

Suala la tindikali laibuka kwenye mazungumzo kati ya Ban na Rais Kikwete

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekuwa na mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania ambapo ametoa shukrani kwa mchango wa nchi hiyo kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko DRC,

Sauti -

Ban asikitishwa na ripoti mpya kuhusu mabadiliko ya tabianchi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, amekaribisha ripoti ya tathmini ya tano ya jopo la kiserikali kuhusu mabadiliko ya tabianchi, IPCC na kusikitishwa na matokeo yake.

Sauti -

Juhudi zaidi zahitajika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa:Figures

Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya hali ya hewa UNFCCC Christiana Figures na maafisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa wamesema matokeo ya utafiti wa karibuni wa ripoti ya IPCC kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ni wito wa wazi kwa jumui

Sauti -

Angola yamulika amani DRC, yataka marekebisho ya muundo wa Baraza la Usalama

Suala la amani ya kudumu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ni miongoni mwa mambo yaliyokuwemo kwenye hotuba ya Makamu wa Rais wa Angola Manuel Domingos Vicente aliyotoa kwenye baraza kuu la Umoja wa Mataifa kwa niaba ya Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos.

Sauti -

IOM imepokea dola milioni 2 kuwasaidia Wahaiti walio makambini, yakarabati nyumba za waliopoteza makazi Syria.

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema limepokea dola milioni mbili kutoka serikali ya Sweden kama mchango wa kuwalinda wananchi zaidi ya laki mbili walioathirika kufuatia tetemeko la ardhi mwezi Januari mwaka  2010 nchini Haiti

Sauti -

Migogoro nchini Mali inatokana na hali ngumu ya maisha:Rais Keita

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo katika siku ya nne hii leo viongozi wameendelea kuhutubia wakijikita katika masuala ya ulinzi, amani usalama na maendeleo. Grace Kaneiya na ripoti kamili.

(Taarifa ya Grace)

Sauti -

Kuanza utekelezaji wa mkataba wa kupinga majaribio ya nyuklia ni muhimu:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon amesema hatua zimepigwa tangu mkutano wa mwaka 2011 wa kuhusu kuanza kutekelezwa kwa mkataba wa kupinga majaribio ya nyuklia. Amesema nchi tano mpya zimejiunga katika mkataba huo ili kufanikisha nia ya kimataifa ya kupinga majaribio ya nyuklia.

Sauti -

Mawaziri wa muungano wa ustaarabu wakutana kuridhia mkakati mpya wa ushirikiano

Hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, mkutano wa mawaziri wa nchi marafiki wa Muungano wa Ustaarabu, UNAOC, umefanyika pembezoni mwa mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo.Alice Kariuki ana maelezo zaidi

(TAARIFA ya ALICE)

Sauti -

Twapongeza jitihada za AU za kuleta maridhiano Sudan na Sudan Kusini: Eliasson

Mashauriano ya pili ya ngazi ya mawaziri kutoka Sudan na Sudan Kusini yamefanyika hii leo mjini New York, mada kuu ikiwa ni mchakato wa amani wa kumaliza mzozo kati ya nchi mbili hizo. Ripoti ya Assumpta Massoi inafafanua zaidi.

 (Taarifa ya Assumpta)

Sauti -