Sauti Mpya

Mtalamu huru wa UM asifu mwelekeo wa haki za binadamu Somalia

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Somalia Shamsul Bari amepongeza kupitishwa kwa mpango wa utekelezaji na usimamizi wa haki za binadamu nchini humo.

Sauti -

Hali ya chakula nchini Zimbabwe yazidi kuzorota: WFP

(Taarifa ya Grace)

Sauti -

Ujerumani yawapatia wasyria Elfu Tano makazi ya muda: IOM

Serikali ya Ujerumani imekubali kuwapatia ukazi wa muda raia elfu Tano wa Syria wanaoishi Lebanon, na hiyo ni kwa mujibu wa shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM.

Sauti -

Watu 75,000 wakosa makazi Sudan Kusini

Mashirika ya kutoa misaada nchini Sudan Kusini yanasema kuwa hadi sasa yameandikisha kiasi cha watu 75,000 walioathiriwa na machafuko katika jimbo la Jonglei. 

Mashirika hayo yameanza kutoa huduma za usamaria wema ikiwemo usambazaji wa vyakula, maji pamoja na huduma nyingine za usafi.

Sauti -

UNHCR yasema idadi ya wakimbizi wa Syria yafikia milioni mbili

Idadi ya wakimbizi wa Syria inaripotiwa kufikia milioni mbili wakati nchini Syria kwenye hali ikizidi kuwa mbaya kwa kuzalisha wakimbizi wa ndani.

Sauti -

UNICEF inasaidia watoto walioathirika na vita Mali

Nchini Mali, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linaongeza juhudi zake za kusaidia watoto nusu milioni ambao maisha yao yameat

Sauti -

Ban aongea kwa simu na mkuu wa tume ya uchunguzi wa silaha za kemikali Syria Dr. Åke Sellström:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo Jumapili amezungumza kwa njia ya simu na Dr. Åke Sellström, mkuu wa tume mya Umoja wa mataifa ya uchunguzi wa madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchiniSyria.

Sauti -

Ugonjwa wa mabusha na matende waweza kumpata mtu yeyote

Ripoti ya shirika la afya ulimwenguni WHO, inasema kuwa zaidi ya  watu milioni 120 duniani kote wameathiriwa na ugonjwa huo wa mabusha na matende na  asilimia

Sauti -