Sauti Mpya

Ban akutana na kuzungumza na rais wa Mali

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon ameendelea kukutana na wakuu mbalimbali wa nchi na kufanya nao mazungumzo ambapo leo amekutana na rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita.

Sauti -

Misri imo mbioni kuhitimisha kipindi cha mpito, Waziri Nabil Fahmy

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Malaysia yataka suluhu jumuishi la kisiasa kwa mzozo wa Syria

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Ban akutana na Wazriri wa Mambo ya Nje wa Iraq

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Baraza la Usalama limeweka historia: Ban awaeleza waandishi wa habari

Ni siku ya kihistoria, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliwaeleza waandishi wa habari punde baada ya baraza la usalama kupitisha azimio kuhusu uteketezaji wa silaha za kemikali zaSyria.

Sauti -

Wajumbe wa Baraza la Usalama wapitisha mswada wa Syria:

Wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama na wale wasio wa kudumu Ijumaa jioni wamepiga kura ya mswaada wa azimio kuhusu silaha za kemikali nchini Syria.

(SAUTI YA RAIS WA BARAZA)

Sauti -

Ban na waziri wa mambo ya nje wa Urusi wajadili suluhu ya mgogoro wa Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon jioni ya leo Ijumaa amekutana na waziri wa mambo ya nje wa shirikisho la Urusi Sergey V. Lavrov.

Sauti -

Quartet yakutana kuzungumzia hatua za majadiliano baina ya Israel na Palestina:

Wawakilishi wa Quartet ambao ni Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov, waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry, na mwakilishi wa sera za nje na usalama wa Muungano wa Ulaya Catherine Ashton,wamekutana mjini New York leo kando na mjadala w

Sauti -

Mkutano wa Baraza Kuu la UM ukishika kasi, Viongozi wa Afrika watathimini malengo ya milenia

Tarehe 24 mwezi huu wa Septemba mkutano wa 68 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ulianza rasmi kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani.

Sauti -

Tanzania yajivunia kutimiza malengo 4 kati ya 8 ya milenia:Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amesema Tanzania inajivunia kutanabaisha kwamba malengo manne kati ya manane ya maendeleo ya Milenia yametimizwa. Akizungumza katika mjadala mkuu wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa Ijumaa jioni amesema…

Sauti -