Sauti Mpya

Mkuu wa UNESCO alaani shambulio kwenye msikiti wa kihistoria Timbuktu

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO Irina Bokova ameshutumu vikali shambulio

Sauti -

UNHCR yazidiwa uwezo katika kusaidia wakimbizi

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mwaka huu wa 2013 umeshuhudia idadi kubwa zaidi ya watu wakikimbia ma

Sauti -

Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu waingia siku ya sita

Mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umeingia siku yake ya sita hii leo, kwa hotuba kutoka kwa wawakilishi wa nchi tofauti. Wa kwanza kuzungumza hii leo ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, aliyeanza hotuba yake kwa kuwaenzi wahanga wa ugaidi. Joshua Mmali ana taarifa zaidi

Sauti -

Wataalamu wa nafaka Afrika wakutana Mombasa

Zaidi ya viongozi 250 kutoka bara la Afrika wakiwemo wakurugenzi kutoka sekta za kibinafsi, wakulima , wafanyibiashara , mashirika yasiyokuwa ya serikali , taasisi za kifedha, waakilishi wa serikali na watunza sera watakusanyika mjini Mombasa nchini Kenya kati ya Oktoba mosi na Oktoba tatu kujadi

Sauti -

Taaluma ya ualimu iheshimiwe, elimu ya leo itoe fursa ya ajira kesho: ILO

Hadhi ya walimu lazima ilindwe na wasomi wenye vipaji washawishiwe kuchukua taaluma ya ualimu, ni kauli ya Mkurugenzi mkuu wa Shirika la kazi duniani,

Sauti -

WHO, FAO na OIE waungana kutokomeza kichaa cha mbwa:

Shirika la afya duniani WHO, shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Tisho la ugaidi sasa ni dhahiri, mafunzo maalum yatolewa:Kikwete

Rais wa Tanzanaia Jakaya Kikwete amesema ni dhahiri kwamba tishio la ugaidi ni sehemu ya maisha ya sasa na kwamba nchi yake iko katika hali ya tahadhari na ili kujihami vyombo vya usalama vimepewa mafunzo maalum.

Sauti -

Biashara ya hewa ya ukaa bado kitendawili, gesi chafuzi zinazidi na umaskini ni kikwazo: Tanzania

Tanzania inaendelea na jitihada za kupunguza makali yatokanayo na mabadiliko ya tabianchi wakati huu ambapo jopo la kimataifa la Umoja wa Mataifa linalojadili mabadiliko ya hali ya hewa IPCC limetoa ripoti kwamba shughuli za binadamu ndio chanzo kikuu cha mabadiliko hayo.

Sauti -

Tumetimiza sehemu ya Malengo ya Milenia yaliyosalia tunapambana: Kikwete

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema kwa sehemu kubwa utekelezaji wa maendeleo ya milenia umefanikiwa nchini mwake licha ya kwamba yako malengo ambayo bado hayajafanikiwa matahalani usafi wa mazingira na kuanisha mipango iliyopo katika kuyatimiza.

Sauti -

Ukanda wa Sahel wazidi kumulikwa, Maurtania yataka jumuiya ya kimataifa kunusuru uhalifu.

Waziri wa mambo ya nje wa Mauritania Ahmed Ould Sid' Ahmed ni miongoni mwa viongozi waliohutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa katika mjadala wa mwisho wa juma ambapo pamoja na kugusia utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia nchini mwake ameungana na viongozi wengine wa Afrika kulaani mat

Sauti -