Kabrasha la Sauti


UNICEF yapania kutokomeza ukatili wa ngono Mali

Taifa la Mali limekuwa katika mzozo wa kisiasa muda mrefu ambapo mapigano kati ya waasi na vikosi vya serikali yamesababisha mateso kwa wananchi wa taifa hilo .

Sauti -

Ban azungumza na Mwakilishi wa EU kuhusu hali Misri

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mwakilishi Mkuu wa masuala ya nchi za nje wa Jumuiya ya Ulaya, EU, Catherine Ashton, kufuatia ziara yake nchini Misri.

Sauti -

Brigedi ya MONUSCO ya Kivu Kaskazini yapata mafunzo ya kurejesha amani na utulivu

Walinda amani 33 kutoka India wanao hudumu kwenye Brigedi ya kikosi cha

Sauti -

Mauaji yaongezeka Afghanstan :UNAMA

Ripoti mpya ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanstan, UNAMA, kwa kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu inaonyesha kuwa idadi ya vifo vya raia imeongezeka ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya.

(TAARIFA YA GRACE)

Sauti -

Jopo maalum lamulika utumiaji wa mamluki katika shughuli za UM

Utumiaji wa kampuni za kibinafsi za kutoa huduma za kiusalama katika Umoja wa Mataifa umemulikwa leo katika mkutano wa jopo maalum lililowekwa na Baraza la Haki za Binadamu kufuatilia shughuli za mamluki katika huduma za Umoja wa Mataifa. Joshua Mmali amefuatilia mdahalo wa jopo hilo:

Sauti -

UNICEF yataka kuchukuliwa hatua za dharura kupambana na dhuluma dhidi ya watoto

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa linasema kuwa dhuluma kwa watoto mara nyingi hazitambuliwi wala kuripotiwa ambapo limetangaza mpango ambao unawataka wananchi wa kawaida, watunza sheria na serikali kuchukua hatua madhubuti kupambana na dhuluma za watoto.Jason Nyakundi na taarifa ka

Sauti -

Uchaguzi nchini Mali wasaidia kuunganisha wananchi: UNDP

Wakati kazi ya kuhesabu kura kufuatia uchaguzi wa Rais nchini Mali ikiwa inaendelea, Umoja wa Mataifa umesema uchaguzi huo wa kwanza kufanyika tangu mapigano makali kuzuka Kaskazini mwa nchi hiyo mwaka jana, umesaidia kuunganisha raia.Mwakilishi Mkazi wa shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa

Sauti -

Mtaalamu wa UM apongeza uchaguzi wa Cambodia

Mtaaalamu wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadmu nchini Cambodia amesifu uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo mwishoni  mwa juma na ametaka kuwepo kwa hali ya utulivu na ustahimlivu wa kisiasa.Surya Subedi amesema kuwa uchaguzi huo wa jumapili iliyopita ni kielelezo cha ukomavu wa kisiasa na

Sauti -

Mchele uliongezewa nguvu waanza kusambazwa kwa wanavijiji Bangladesh

Wanavijiji maskini nchini Bangladesh wameanza kupokea msaada wa mchele ulioongezewa nguvu za virutubisho ili kuwawezesha walaji kupata vitamin na madini.

Sauti -

IOM yaongoza usajili wa waliopoteza makazi kwa vita Sudani Kusini na DRC

Kufuatia majadiliano ya kina ili kuruhusu kulifikia eneo lilioloathiriwa na vita jimboni Jonglei kusini kwa Sudan, mashirika ya misaada sasa yanaweza kufika eneo liitwalo Pibor ambapo mapigano kati ya jeshi la serikali na vikosi binafsi vyenye silaha, na mapigano ya kikabila yaliyozuka upya yamea

Sauti -