Kabrasha la Sauti


IOM yawasilisha msaada kwa wakimbizi 26,000:Syria

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria 26,000 familia zinazowahifadhi na familia za Kilebanon zinazorejea huko Kusini mwa Lebanon.

Sauti -

Sote tuna wajibu wa kutokomeza adhabu ya kifo: Ban

Tuna wajibu wa kuzuia watu wasio na hatia kuwa wahanga wa ukiukwaji wa haki, hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliyotoa kwenye kikao cha ngazi ya juu mjini New York Marekani kuhusu utokomezaji wa adhabu ya kifo.Bwana Ban amesema njia ya kiungwana zaidi ni kuachana na ad

Sauti -

Kampeni ya chanjo ya polio Burundi baada ya tishio kutoka DRC

Serikali ya Burundi  kwa ushirikiano na  shirika la Afya Duniani WHO wameanzisha kampeni kabambe  dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa polio.

Sauti -

Kuuawa kwa wakimbizi wa ndani wawili Myanmar kwa itia hofu: UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema linatiwa hofu na tukio la ghasia lililofanyika Alhamisi Mashariki mwa

Sauti -

Mfumo mpya waanzishwa kuwezesha nchi kupata takwimu sahihi za misitu: FAO

Shirika la kilimo na chakula duniani,

Sauti -

Zerrougui azuru Syria kunusuru watoto.

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto na migogoro ya silaha Bi . Leila Zerrougui anatarajiwa kuzuru nchini Syria na nchi jirani kutathimini madhara kwa watoto kutokana na mgogoro nchini humo.

Sauti -

Hadhi ya ukimbizi kwa wanyarwanda kukoma mwisho wa mwezi huu: UNHCR

Takribani wanyarwanda 100,000 wanaosihi uhamishoni huenda wakapoteza hadiyaoya ukimbizi ifikapo tarehe 30 mwezi huu kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa,

Sauti -

Hali ya wakimbizi wa ndani CAR ingali tete: WFP

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP limesema hali ya wakimbizi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati bado ni tete, na kwamba hali hii huenda ikaathiri vibaya mno kampeni ya sasa ya kilimo ya mwaka 2013 hadi 2014. Joseph Msami na maelezo zaidi

(TAARIFA YA JOSEPH MSAMI)

Sauti -

Nchi 10 zajitolea kutokomeza malaria Amerika ya Kati na Karibea

Nchi kumi za Amerika ya Kati na eneo la Karibea zimejiunga kwenye mkakati wa kikanda unaolenga kutokomeza ugonjwa wa malaria ifikapo mwaka 2020, kwa msaada wa hazina ya kimataifa ya kupiga vita UKIMWI, kifua kikuu na malaria, Global Fund.Haya yametangazwa kwenye mkutano wa kikanda wa mawaziri wa

Sauti -

Kipindupindu chaua watu 257 huko Jamhuri ya Kidemokrasia y a Kongo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC yaelezwa kuwa kipindupindu kimesababisha vifo vya watu 257 kwenye jimbo laKatanga kati ya Elfu Kumi na Mmoja waliopata ugonjwa huo tangu mwanzoni mwa mwaka huu.Taarifa hizo ni kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA ka

Sauti -