Kabrasha la Sauti


Marufuku ya matangazo ya tumbaku itaokoa maisha

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Ban akaribisha mazungumzo ya amani Myanmar.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amekaribisha makubaliano yaliyofikiwa jana kati ya seriakali ya Myanmar na shirika liitwalo Kachin Independence baada ya mkutano wao wa kwanza ndani ya nchi hiyo tangu kuzuka kwa mgogoro baina yao mwezi June mwaka 2011.

Sauti -

Ethiopia yachukua hatua kudhibiti homa ha manjano

Nchini Ethiopia, wizara ya afya wiki ijayo inaanza kampeni ya dharura ya utoaji chanjo dhidi ya homa ya manjano baada ya kuthibitishwa kuwepo kwa wagonjwa Sita tarehe Saba mwezi wa Mei.

Kampeni hiyo inalenga kufikia zaidi ya watu Laki Tano maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.

Sauti -

IAEA yahitimisha mafunzo ya nyukilia Japan

Wataalamu wa shirika la Umoja wa Mataifa la nguvu za Atomiki IAEA, wamehitimisha mafunzo ya siku nne yaliyowajengea uwezo wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali waliokutana Fukushima Japan.

Sauti -

Usawa wa kijinsia na kumwezesha mwanamke wa Afrika kujadiliwa Tokyo:UNDP

Umuhimu wa usawa wa kijinsia na kumuwezesha mwanamke katika kuchagiza maendeleo barani Afrika itakuwa ajenda kuu kwenye mjadala wa ngazi ya juu utakaoendeshwa na mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleoo UNDP Bi Helen Clark kwenye mkutano wa kimataifa wa maendeleo ya Afrika utakao anza Ju

Sauti -

UNECE yaisaidia Georgia kubuni sheria mpya kuhusu maji

Kipengee kipya cha sheria kuhusu maji kimewasilishwa mbele ya kamati inayoongoza mazunguzo kuhusu sera nchini Georgia inayohusu usimamizi wa maji kwenye mkutano ulioandaliwa mjini Tbilisi tarehe 30 mwezi huu unaoungwa mkono na tume ya Umoja wa Mtaifa kuhusu uchumi barani ulaya UNECE.

Sauti -

Ukatili DRC umekithiri na umepitiliza: Kang

Naibu Mkuu wa ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu ndani ya Umoja wa Mataifa, OCHA, Kyung-wha Kang, amehitimishia ziara yake ya siku nne huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC katika kijiji cha ndani zaidi cha Mulamba jimbo la Kivu Kusini na kusema ukatili umekithiri na umevuka mpaka.

Sauti -

UNHCR yajiandaa kusaidia wakimbizi Sudan Kusini mvua zinapokaribia

Nchini Sudan Kusini, shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR linaandaa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wakimbizi w

Sauti -

Idadi ya wakimbizi wa Syria walio nchi jirani yavuka Milioni Moja na Laki Sita wiki hii

Mashariki ya Kati yaelezwa kuwa nchini Syria idadi ya wakimbizi waliosajiliwa nchi jirani wiki hii imevuka Milioni Moja na Laki sita na shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa

Sauti -

IOM yajiandaa na msimu wa kimbunga huko Haiti

Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM linasema wakati huu ambapo msimu wa kimbunga unakaribia kuanza huko Haiti, shirika hilo linajiandaa kutoa misaada ya kibinadamu ikiwemo vifaa vya kutakatisha maji na vingine vya kusaidia kuepusha magonjwa yatokanayo na maji yasiyosafina salama.

Sauti -