Kabrasha la Sauti


Zaidi ya wakimbizi 30,000 wamewasili nchini Yemeni ndani ya mwaka huu

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limesema kuwa kiasi cha wakimbizi na wahamiaji 30,000 wamewasili nchini Yem

Sauti -

WFP yakabiliana na utapiamlo Madagascar:

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema linashughulikia matatizo ya utapia mlo na usalama wa chakula ambayo ni changamoto kubwa kwa taifa hilo.

Sauti -

Ugonjwa wa Malaria bado ni tatizo nchini Burundi

Wakati siku ya Malaria duniani ikiangaziwa tarehe 25 Aprili na ujumbe Wekeza kwa baadaye tokomeza Malia, nchini Burundi takwimu zinayonesha kuwa asilimia 21 ya wananchi husumbuliwa na maradhi hayo. Ugonjwa huo umekuwa tatizo la kwanza la afya.

Sauti -

Umoja wa Mataifa wakaribia kupeleka ujumbe wa UNAMSOM Somalia

Umoja wa Mataifa unaendelea kufanya kazi na serikali ya Somalia na mamlaka za mikoa ili kuweka ujumbe mpya wa Umoja wa Mataifa wa kuisaidia Somalia, UNAMSOM, kwa ajili ya kuendeleza amani na kulijena tena taifa hilo, kama lilivyoazimia Baraza la Usalama katika azimio namba 2093 (2013).

Sauti -

Ali Al-Za’tari akaribisha mazungumzo ya amani ya Sudan

Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Ali Al-Za'tari ameungana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon katika kukaribisha mazungumzo ya moja kwa moja kati ya serikali ya Sudan na kundi la Sudan People's Liberation Movement North y

Sauti -

Baraza la Usalama laamuru ujumbe wa kuweka udhibiti Mali, MINUSMA

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limepitisha mswada unaoamuru kupelekwa vikosi vya kulinda amani nchini Mali, na kubadilishwa Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo kuwa ujumbe wenye umbo mseto wa kuimarisha udhibiti, MINUSMA, ambao utahitajika kuanza kajukumu yake mnamo tarehe 1 Julai m

Sauti -

Kundi la Séléka lazidi kudidimiza haki za watoto: Zerrougui

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa watoto walionaswa katika maeneo ya mizozo Leila Zerrougui ameonyesha wasiwasi wake juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za watogo vinavyofanywa na vikundi vyenye silaha vya kundi la Séléka huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Sauti -

Afrika isaidiwe kutatua mizozo kwa njia ya amani: Umoja wa Mataifa

Juhudi za kutatua mizozo kwa njia ya amani,Afrika

Sauti -

Mtaalamu wa haki za binadamu wa UM kukusanya taarifa za wakimbizi wa Eritrea

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Eritrea Sheila B.

Sauti -

Mustakhbali wa nyuklia wajadiliwa na mawaziri Petersburg:IAEA

Mawaziri wa serikali mbalimbali na wataalamu wa kimataifa wanakutana mjini Persburg Urusi kuanzia June 27 hadi 29 mwaka huu kujadili mustakhbali wa nyuklia. Maelezo zaidi na George Njogopa (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)

Sauti -