Kabrasha la Sauti


UM watenga fedha za kukabiliana na hali mbaya ya kibindamu Chad

Shirika la UM la kuratibu misaada ya kibinadamu (OCHA) limesema kuwa UM umetenga dola milioni tano za kukabiliana na hali mbaya ya kibinamadu nchini Chad. Fedha hizo zitatumika kukidhi mahitaji ya dharura ya wakimbizi wa Sudan na wahamiaji kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Sauti -

Licha ya changamoto, Burundi yapiga hatua kumstawisha mwanamke

Ikiwa zimesalia chini ya siku Elfu Moja kabla ya ukomo wa Malengo ya Milenia mwezi Disemba mwaka 2015, Burundi  yaelezwa kuwa imepiga hatua kubwa katika  moja wapo ya malengo hayo hususan lile la usawa wa kijinsia kwa kuweka mazingira ya usawa kati ya wanawake na wanaume katika Nyanja mbali mbali

Sauti -

IOM kutoa mafunzo kwa wahamiaji wa Afrika walioko ughaibuni

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM, liko katika mpango maalum unaolenga kutoa mafunzo kwa wahamiaji wa Afrika wanaoishi ughaibuni ili wasaidie maendeleo katika nchi zao kulingana na ujuzi walionao.

Sauti -

IOM kuwezesha wasomali walioko Uingereza kuchangia maendeleo ya nchi yao

Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM kuwawezesha wahamiaji wa kisomali nchini Uingereza kushiriki maendeleo ya nchi yao kama anavyo ripoti Alice Kariuki.

 (RIPOTI YA ALICE)

Sauti -

Wakimbizi kutoka Syria ni mzigo mkubwa kwa UNHCR na majirani zake

 Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR laeleza  kuzidiwa uwezo wa kutoa huduma za tiba kwa wakimbizi wa  Syria kama

Sauti -

Hali mbaya ya usalama yasababisha ukosefu wa chakula Mali:WFP

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP linasema hali ya ukosefu wa chakula inazidi kuwa tishio kaskazini mwa nchi hiyo kutokana na kuzorota kwa usalama.WFP inasema hali ni mbaya zaidi katika jimbo la Mopti ambako hata ustawi wa kijamii umezorotakamaanavyoripoti George Njogopa.

Sauti -

Baraza Kuu la UM lapitisha azimio kuhusu amani barani Afrika

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, leo limerithia azimio la kisiasa kuhusu utatuaji wa mizozo barani Afrika kwa njia ya amani. Assumpta Massoi na taarifa kamili:(TAARIFA ASSUMPTA)

Sauti -

Miaka 27 baada ya zahma ya Chernobly athari bado zipo:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anasema wakati leo dunia ikikumbuka zahma ya Chernobly miaka 27 iliyopita ni muhimu kuwaenzi wafanyakazi wa huduma za dharura waliosaidia wakati wa ajali hiyo ya nyuklia mbaya kabisa kuwahi kutokea na kukatli maisha ya watu wengi huku zaidi ya 330,000 k

Sauti -

Ban azungumza na Rais wa Equatorial Guinea

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekuwa na mazungumzo na Rais Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial  Guinea ambapo amemshukuru Rais nguema mwa mchango wake katika utatuzi wa mizozo kwa njia ya amani barani afrika.

Sauti -

Ban azungumzia taarifa za Marekani kuhusu silaha za kemikali Syria

Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa Katibu Mkuu Ban Ki-Moon ana taarifa juu ya barua ambayo Ikulu ya Marekani imewasilisha katika baraza la Kongresi kuhusu matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria.  Bwana Ban anachukulia kwa umakini taarifa hizo lakini Umoja wa Mataifa hauwezi kutoa maon

Sauti -