Kabrasha la Sauti


Harakati za kudhibiti mabadiliko ya tabianchi zashika kasi

Huko Bonn, Ujerumani mazungumzo yameanza hii leo chini ya sekretariati ya Umoja wa Mataifa inayohusika na masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa, (UNFCCC), kuangalia hatua za kuchukua kudhibiti ongezeko la utoaji wa hewa chafuzi zinazoongeza kiwango cha joto duniani.Mkutano huo unalenga kujadili f

Sauti -

Syria iruhusu uchunguzi katika madai ya kutumika silaha za kemikali: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameitaka serikali ya Syria iruhusu uchunguzi wa madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini humo bila kuchelewa na bila masharti. Joshua mmali na maelezo zaidi

(PKG JOSHUA MMALI)

Sauti -

Brazil yatoa msaada mkubwa wa chakula kwa wapalestina

Jimbo la Brazil ambalo ni mzalishaji mkubwa wa mpungua la Rio Grande do Sul, kupitia serikali kuu limetoa msaada wa tani 11.500 za mchele kwa shirika la Umoja wa mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

Sauti -

UNESCO na washirika kusaidia kuboresha elimu kwa wote

Shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO ambalo limetiliana saini na shirika linalohusika na elimu ya

Sauti -

Suluhu la kisiasa Darfur bado kupatikana: Ladsous

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limeleezwa kuwa miaka Kumi tangu mzozo wa Darfur utambulike kimataifa bado suluhu ya kisiasa haijapatikana na hali ya usalama kwa watendaji wa Umoja wa Mataifa inatia wasiwasi. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi.(TAARIFA YA ASSUMPTA)

Sauti -

UM wazindua kampeni ya changamoto ya kutokomeza njaa Asia-Pacific

Umoja wa mataifa Jumatatu umezindua kampeni ya changamoto ya kutokomeza njaa kwenye ukanda wa Asia na Pacific. Alice Kariuki na taarifa zaidi(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)

Sauti -

WHO yaongoza mikakati ya kupambana na ugonjwa wa surua nchini Cambodia

Taifa la Cambodia limeongeza maradufu idadi ya watoto wanaopata chanjo dhidi ya ugonjwa wa surua kwa muda wa miaka kumi iliyopita.

Sauti -

Tuwaenzi wahanga kwa kutokomeza silaha za kemikali: Ban

Kutokomeza silaha za kemikali na silaha zingine zote za mauaji wa halaiki ndiyo njia bora ya kuwaenzi wahanga wa silaha hizo na kuvikomboa vizazi vijavyo kutokana na hatari ya silaha hizo.

Sauti -

Huduma za posta kurejea Somalia, baada ya kukosekana kwa miaka 23

Somalia imetiliana saini na falme za kiarabu makubaliano ya kusaidia urejeshaji wa huduma za posta nchini humo baada ya kukosekana kwa miaka 23 kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.Makubaliano yalitiwa saini kwenye makao makuu ya UPU nchini Uswisi na ambapo kwa mujibu wa makubaliano hayo, mji

Sauti -

Hali ya Iraq inatisha, hatua za haraka zichukuliwe - Kobler

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Martin Kobler, ametaka pande zote nchini Iraq kujizuia na mapigano na badala yake kuwepo kwa mjadala mkuu nchini humo kufuatia mapigano ya hivi karibuni yaliyosababisha vifo na majeruhi kwa mamia ya watu nchini humo.

Sauti -