Kabrasha la Sauti


Baraza la usalama lasikitishwa na hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeeleza wasiwasi wake mkubwa juu ya kuzidi kuzorota kwa hali ya usalama huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kutaka mamlaka husika zirejeshe amani, utulivu na usalama kwenye mji mkuu Bangui.

Sauti -

Bi. Robinson akutana na Rais Kabila mjini Kinshasa

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika nchi za Maziwa Makuu barani Afrika Mary Robinson ambaye ameanza ziara yake katika eneo hilo amekuwa na mazungumzo na Rais Joseph Kabila mjini Kinshasa na kupongeza dhima ya serikali katika makubaliano ya kuleta amani, ulinzi na ushirikkiano

Sauti -

Watanzania waadhimisha miaka 49 ya muungano mjini New York,watoa wito kero za Muungano zitatuliwe

 

Mwishoni mwa wiki Watanzania wanaoishi mjini New York na vitongoji vyake waliungana na watanzania wengine kuadhimisha miaka 49 ya muungano wa Tanganyika na Zainzibar ulioasisiwa mwaka 1964. Joseph Msami ameandaa makala ifuatayo kufahamu nini kilijiri katika siku hiyo.

Sauti -

Wanajeshi Mali wapewa mafunzo

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa lile la wakimbizi, UNHCR , pamoja na ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA yameendesha mafu

Sauti -

Hifadhi ya jamii ni muhimu katika kuondoa ajira kwa watoto

Shirika la kazi duniani, ILO limetoa ripoti inayoeleza bayana kuwa sera bora za hifadhi ya jamii ni nguzo ya kuondokana na ajira kwa watot

Sauti -

Ban ameteua Kay kumwakilisha huko Somalia, anachukua nafasi ya Balozi Mahiga

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteaua Nicholas Kay wa Uingereza kuwa mwakilishi wake maalum huko Somalia, akichukua nafasi ya Balozi Augustine Mahiga kutoka Tanzania anayemaliza muda wake mwezi Juni mwaka huu.

Sauti -

UNMISS yakaribisha azimio la amani Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -

ILO kupeleka ujumbe Bangladesh kufuatia kuporomoka kwa jingo la Rana Plaza

Shirika la kazi duniani ILO linatapeleka ujumbe wa ngazi za juu nchini Bangladesh katika siku chache zijazo ili kusaidia na kuharakisha ha

Sauti -

UM wakaribisha mazungumzo ya kumaliza uhasama, Iraq, Kurdistan

Iraq na Kurdistan zimeanzisha majadiliano kwa shabaha ya kumaliza mivutano ya muda mrefu huku Umoja wa Mataifa ukiamini kupatikana kwa suluhu ya kudumu.

Maafisa wa pande zote mbili wamekutana kabla ya mawaziri wakuu kuwa na mkutano wao siku ya jumanne, mjini Bagdad.

Sauti -

Ban amteua Modibo Toure kuwa Mshauri Maalum wa mjumbe wake wa Maziwa Makuu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, leo amemteua Bwana Modibo Toure kama Mshauri Maalum wa Mjumbe wake katika ukanda wa Maziwa Makuu, Mary Robinson.Tangu mwezi Januari mwaka huu, Bwana Toure ambaye ni raia wa Mali, amekuwa akihudumu kama mratibu mkaazi wa masuala ya kibinadamu na mwakil

Sauti -