Kabrasha la Sauti


Simu za viganjani kuboresha elimu ya msingi Nigeria

Shirika la Umoja  wa Mataifa la la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO linashirikiana na wadau wake kuboresha elimu ya msingi

Sauti -

UNSMIL yafuatilia mwenendo wa maandamano ya wananchi Libya

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Libya UNSMIL unafuatilia kwa karibu hali ya sintofahamu inayoendelea nchini humo ambapo katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamno mjini Tripoli, kuzunguka majengo ya wizara na taasisi nyingine za serikali.

Sauti -

Mzozo nchini Syria wasababisha mkurupuko wa ugonjwa wa surua

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema mzozo unaoendelea nchini Syria umeharibu vibaya mfumo wa afya, ikiwemo progr

Sauti -

UNHCR yaonya dhidi ya kuwalazimisha wakimbizi wa CAR kurudi makwao katika mazingira ya ghasia

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi, UNHCR, limesema kwamba wakimbizi waliokimbia mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati hawapaswi kul

Sauti -

Bi Robinson ahitimisha ziara DRC

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye ukanda wa Maziwa Makuu, Bi Mary Robinson, ambaye amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC hii leo, amesema kuwa umuhimu wa ziara yake nchini humo imekuwa ni kusikiliza na kuwa na mazungumzo ya wazi na pande zote hu

Sauti -

Mkutano wa kwanza wa ILO wafanyika Myanmar tangu kupitishwa sheria ya uhuru wa kukusanyika

Mwaka mmoja baada ya serikali ya Myanmar kupitisha sheria za masuala ya kazi wajumbe kutoka mashirika 500 ya kazi wamekusanyika kwenye mkutano wa maalumu kujadili masuala ya ujuzi kazini , maamuzi ya pamoja na afya na usalama kazini miongono mwa ajenda nyingi zilizoandaliwa ambazo ni muhimu kwa w

Sauti -

Wahamiaji wanaorejea na wakimbizi wa Chad wahaha msimu wa mvua: IOM

Wakati msimu wa mvua unapotarajia kuanza mwezi ujao nchini Chad, hali ya maelfu ya wakimbizi na wahamiaji waliokwama katika vituo vinne vya mpaka wa Chad inaongeza kutia wasiwasi.

Sauti -

UNRWA yalaani kutawanywa kwa wakimbizi wa Kipalestina Syria

Wakimbizi wa Kipalestina walioko nchini Syria wanauawa, kujeruhiwa na kutawanywa kwa kiasi kikubwa kuliko wakati mwingine wowote wakati vita vikiendelea kuwaathiri wakimbizi katika makambi yote nchini humo.

Sauti -

IOM yaendesha mafunzo kwa wafanyabiashara wadogo wa Ethiopia

Shirika la kimataifa linalohusika na uhamiajI IOM, limefanikisha mpango wa utoaji mafunzo ya kibiashara kwa raia wa Ethiopia waliorejea nchini humo kwa hiari kutoka Misri na Libya

Sauti -

Ban ashutumu mauaji ya Naibu wakili wa serikali Somalia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-MoonKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameshutumu mauaji ya Naibu wakili wa serikali nchini Somalia, Ahmed Malim Sheikh Nur yaliyotokea mwishoni mwa wiki mjini Mogadishu na ametua salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu.  Bwana Ban amekaririwa

Sauti -