Kabrasha la Sauti


Mkataba wa kudhibiti biashara ya silaha wakwama, Ban asikitishwa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha wajumbe mkutano wa mwisho wa mkataba wa kimataifa wa biashara ya silaha duniani kushindwa kuafikiana juu ya rasimu ya mkataba huo.

Sauti -

Umoja wa Mataifa wawaenzi waathiriwa wa Utumwa kwa tamasha la muziki

Tarehe Ishirini na tano Machi ni Siku ya Kuadhimisha Utumwa na Biashara ya Utumwa ya Atlantiki.

Na mapema wiki hii Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilifanya hafla maalum ya kuwakumbuka na kuwaenzi waathirika wa utumwa na biashara ya utumwa.

Sauti -

Ban asifu MONUSCO kupatiwa mamlaka mpya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameunga mkono hatua aliyoitaja kuwa ni muhimu ya Baraza la Usalama kupitisha azimio juu ya Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo, DRC ambalo linaipatia ujumbe wa Umoja huo nchini humo

Sauti -

MONUSCO yapatiwa mamlaka mpya ili kuimarisha amani DRC

Hatimaye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio namba 2098 ambalo pamoja na mambo mengine linapatia ujumbe wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ay Kongo, DRC,

Sauti -

Makambi ya wakimbizi wa ndani yalindwe zaidi:UM

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kulinda makambi ya wakimbizi wa ndani kufuatia shambulio la bomu lililotegwa kwenye gari kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani nchini Pakistan.

Sauti -

UNDP kukwamua wajasiriamali

Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa, UNDP  kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo umeanzisha mpango utakawawezesha wajasiriamali na sekta binafsi kwa ujumla kukuza kipato  kwa haraka na kwa njia rahisi.

Sauti -

UNICEF wawaandalia watoto wakimbizi mazingira rafiki

Zaidi ya wakimbizi elfu 68 kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia Rwanda kutafuta makazi kufuatia mapigano yanayoendelea Mashariki mwa nchi hiyo,  iliyotawaliwa na vita kwa miongo kadhaa.

Sauti -

Taifa la Mongolia latakiwa kutumia fursa zilizopo kuinua uwekezaji

Tathmini kuhusu uwekezaji kutoka kwa shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD inayopendekeza kuwa taifa la Mongolia linastahili kutumia fursa ilizopota miaka ya hivi karibuni ya uwekezaji wa kimataifa kwenye sekta ya uchimbaji wa madini itajadiliwa na waziri mkuu wa nchi hiyo n

Sauti -

UNICEF yasaidia watoto wakimbizi Rwanda

Kufuatia maelfu ya wakimbizi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kukimbia na kutafuta hifadhi katika nchi mbalimbali ikiwamo Rwanda, Shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia watoto

Sauti -

Serikali ya Indonesia yatakiwa kusitisha hukumu ya kifo

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu hukumu ya kifo Christof Heyns Alhamisi ameitaka serikali yaIndonesia kudhibiti utekelezaji wa hukumu ya kifo katika kutekeleza wajibu wake wa kimataifa.

Sauti -