Sauti Mpya

Ban asifu waliojitolea kuwaokoa wahanga wa mauaji ya kimbari ya wayahudi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki- Moon amesema siku ya kimataifa ya kumbukumbu ya waliokufa kwenye mauaji ya kimbari ya kiyahudi inatoa fursa ya kutambua mchango wa wale waliojitolea uhai wao kuokoa wahanga wa mauaji hayo licha ya mazingira magumu.

Sauti -

Mgogoro wa Mali wazidi kutandaa Afrika Magharibi: Djinnit

Mgogoro unaoendelea nchini Mali unazidi kutandaa na madhara yake kughubika eneo la Afrika Magharibi na Ukanda wa Sahel.

Sauti -

UNICEF yahitaji dola Bilioni 1.4 kusaidia watoto wenye mahitaji

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limetoa ombi maalum la dola Milioni Moja nukta Nne kwa ajili ya kuokoa watoto wanaokumbwa

Sauti -

Mazungumzo ya kusaka amani ya Darfur yaanza kupiga hatua

Wakati mazungumzo ya kusaka amani baina ya serikali ya Sudan na kundi moja la waasi kuhusiana na mzozo wa Darfur yanaendelea kupiga hatua huko Doha, Umoja wa Mataifa umeitolea mwito jumuiya ya kimataifa kuendelea kutupia macho kwa karibu ili kusaidia kutanzua mkwamo huo.

Sauti -

Burundi yaitikia wito wa kutokomeza Surua

Shirika la afya duniani, WHO mapema mwezi huu lilitangaza kupungua kwa idadi ya vifo vitokanavyo na Surua kwa asilimia 71 kati ya mwaka 2000 na 2011 duniani,

Sauti -

Pillay aisifu ripoti ya ukatili dhidi ya wanawake India

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa, Navi Pillay, amekaribisha ripoti ya Kamati ya Verma kama msingi wa kuchukua hatua kukabiliana na ukatili dhidi ya wanawake nchini India, na kutoa wito kwa serikali ya India kutekeleza mapendekezo ya ripoti hiyo.

Sauti -

UNHCR yatiwa wasiwasi na visa vya utekaji nyara mashariki mwa Sudan

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasema kuwa kumeripotiwa ongezeko kwa visa vya utekaji nyara na kutoweka kwa

Sauti -

UNHCR yatoa ombi la msaada kwa wakimbizi nchini Mali

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kwa mara nyingine limetoa ombi la msaada wa kimataifa wa kuwasaidia maelfu ya

Sauti -

UNHCR yaiomba Kenya ifikirie upya uhamishaji wa wakimbizi kutoka mijini

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa limekuwa kwenye mazungumzo na serikali ya Kenya tangu mwezi Disemba baada ya serikali ya Kenya kutangaza kusitisha shughuli ya kuwapokea na kuwaandikisha watafuta hifadhi mjini Nairobi na miji mingine nchini Kenya ikisema kuwa watu hao watapelekw

Sauti -

Burundi yahitaji msaada zaidi kuimarika: UM

Taifa la Burundi linaendelea kupiga hatua katika kuimarisha uongozi na kujikwamua tena kufuatia mizozo ya mara kwa mara, lakini bado linahitaji msaada kutoka jamii ya kimataifa ili kukabiliana na hali tete kisiasa na umaskini.

Sauti -