Kabrasha la Sauti


Wataalam wa UM kuhusu vifungo vinavyokiuka haki wakamilisha ziara Ugiriki

Kundi la wataalam wa Umoja wa Mataifa kuhusu vifungo vinavyokiuka haki za binadamu limekamilisha ziara yake nchini Ugiriki, ambayo ilitekelezwa kwa lengo la kukagua hali ya watu kunyimwa haki zao nchini humo.

Sauti -

Angola yatangaza kuchangia kwenye mfuko wa Africa Solidarity Trust Fund

Taifa la Angola limesema kuwa litatoa mchango wake kwa mfuko wa Africa Solidarity Trust, kwa minajili ya jitihada za kuangamiza njaa barani Afrika.

Sauti -

Pillay apongeza kampeni ya kutokomeza mila ya kuwanyanyasa wanawake India

Kamishna wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu Navi Pillay amekaribisha taarifa za kampeni ya kutokomeza mila ya kuondoa taka hususan kutapisha vyoo kwa mikono, na ambayo inayotumika kuwakandamiza wanawake ambayo pia inatajwa kuwanyanyapaa.

Sauti -

Ulowezi wa Israeli ni ishara ya ukosefu wa haki kwa Wapalestina: Ripoti

Ripoti mpya ya ujumbe wa kimataifa wa kuhakiki hali katika maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa imedhihirisha jinsi ulowezi wa Waisraeli unavyoathiri haki za Wapalestina.

Sauti -

Plumbly atembelea kambi ya Ain El-Hilweh huko Lebanon

Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Lebanon Derek Plumbly leo ametembelea kambi ya Ain El-Hilweh kusini mwa Lebanon ambapo amejionea mazingira magumu ambamo wanaishi wakimbizi wakiwemo wale wa kipalestina waliokimbia mgogoro Syria.

Sauti -

WHO yabuni vyombo vya kuongeza mazingira salama katika hospitali za Afrika

Shirika la Afya Duniani (WHO), leo limetoa fungu la vyombo vitakavyotumiwa kwa minajili ya kuboresha usalama wa wagonjwa hospitalini katika nchi zinazoendelea

Sauti -

Tumejizatiti kuisaidia Somalia: UM

Umoja wa Mataifa umejizatiti kusaidia Somalia kujenga amani ya kudumu, na hiyo ni kauli ya Mkuu wa masuala ya siasa ndani ya Umoja wa Mataifa Jeffery Feltman ambayo aliitoa mara baada ya mazungumzo yake na vinogozi wa nchi hiyo mjini Mogadishu.

Sauti -

Brahimi ataja vikwazo vya utatuzi wa mgogoro wa Syria

Mjumbe maalum wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa nchi za kiarabu katika mgogoro wa Syria Lakhdar Brahimi amesema kitendo cha pande mbili kwenye mzozo huo kutozungumza kabisa kinafanya utatuzi kuwa mgumu.

Sauti -

UNESCO kuisaidia Mali kukarabati na kuokoa maeneo ya urithi wa dunia

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokova, ametangaza kuwa shirika hilo litaisaidia nchi

Sauti -

Baraza la Usalama lakutana kujadili umuhimu wa uongozi wa kisheria

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili umuhimu wa kuimarisha uongozi wa kisheria kama njia ya kuendeleza amani na usalama wa kimataifa.

Sauti -