Kabrasha la Sauti


Ban akaribisha tamko la baraza la usalama kuhusu Yemen

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribisha tamko la baraza la usalama la tarehe 27 November ambalo limeahidi kusaidia katika mchakato wa amani wa mpito nchiniYemen ikiwamo kongamano la m

Sauti -

Umuhimu wa televisheni ni zaidi ya kuhabarisha nchini Burundi

Televisheni au kwingineko ikijulikana kama Runinga imeleta mabadiliko makubwa katika mtazamo wa vipindi hususan kwenye nchi ambazo awali radio ilikuwa imeshika kasi.

Sauti -

MINUSMA yalaani ghasia huko Kidal nchini Mali

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchiniMali, MINUSMA umeshutumu vikali ghasia za karibuni huko Kidal kaskazini mwa nchi hiyo na kutaka pande zote husika kujizuia.

Sauti -

Hali ya usalama bado ni tete CAR; Mia Farrow ashuhudia

Huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, hali ya usalama inazorota lakini juhudi za Umoja wa Mataifa zinaendelea ili kusaidia waathirika wa mgogoro unaondelea nchini humo.

Sauti -

Ban aziomba nchi wanachama kuunga mkono watu wa Palestina

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ameziomba nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuunga mkono juhudi za utafutaji suluhu la mataifa mawili ili kuutokomeza mgogoro kati ya Israel na Palestina

Sauti -

Yemen yakiuka mkataba unaopiga marafuku silaha za ardhini

Yemen imekiri kuwa imekwenda kinyume na mkataba wa kimataifa unaopiga marafuku matumizi, kuhifadhi na kuzalisha kwa silaha za ardhini.

Sauti -

Wataalam wa UM kuchunguza hali ya watu wenye asili ya Afrika Brazil

Kundi la wataalam wa Umoja wa Mataifa kuhusu watu wenye asili ya Afrika litafanya ziara ya siku kumi nchini Brazil, kuanzia Disema 3 hadi 13 2013, ili kuchunguza masuala kadhaa yanayohusu haki za binadamu za watu wenye asili ya Afrika nchini humo.

Sauti -

Sudan Kusini yazindua ushirika wa kulinda haki za watoto

Shirika la Kuhudumia watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limeipongeza serikali ya Sudan Kusini kwa kuanzisha shirikisho la wadau wa kulinda ha

Sauti -

Virusi vya MERS Corona vyabainika kwa ngamia Qatar:WHO

Shirika la afya duniani WHO litatoa ripoti ya uchunguzi kutoka Qatar inayoashiria kuwepo kwa virusi vya MERS Corona miongoni mwa ngamia.

Sauti -

WFP inaendelea kuongeza misaada CAR:

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema linaendelea kuongeza operesheni za kibinadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati l

Sauti -