Kabrasha la Sauti


Eritrea yataka mfumo wa Umoja wa Mataifa ufanyiwe marekebisho

Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea, Osman Mohamed Saleh ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa baraza hilo limepuuza maombi ya haki kwa nchi yake, tangu ilipoanza kufanya maombi hayo yapata miongo kadhaa ilopita.

Sauti -

Kitendo cha Guatemala kudai sehemu ya Belize ni tishio:

Moja ya masuala yanayopewa kipaumbele katika ajenda za nyumbani na serikali ya Belize ni kupatia ufumbuzi dai la Guatemala la kudai sehemu ya mamlaka ya Belize amesema waziri wa mambo ya nje wa Belize Wilfered Elringtoold .

Sauti -

Mtindio wa ubongo si kigezo cha kunyimwa haki ya kupiga kura: Wataalam

Watu wenye mtindio wa ubongo hawapaswi kunyimwa hakiyaoya kupiga kura. Ni maoni ya Kamati ya wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa baada ya kuchunguza kesi ya raia sita waHungaryambao wamepokonywa hakiyaoya kupiga kura baada ya kuwekwa chini ya uangalizi wa kisheria.

Sauti -

Hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe katika ugaidi bali vita dhidi ya ugaidi:Syria

Sera za fujo dhidi ya Syria ni hatua ya kwanza kuelekea kwenye suluhisho nchini humo kwa mujibu wa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje Walid Al-Moualem.

Sauti -

UM yatilia shaka kutoroka gerezani kwa askari

Afisa wa juu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ameeleza kushtushwa kwake kutokana na taarifa za kutoroka gerezani kwa askari wawili wa Congo  ambao walitiwa hatiana kutonana na mauwaji yaliyoyatenda.

Sauti -

Christina Aguilera, Yum kwenye kampeni ya kukabiliana na njaa

Mshirika wa muda mrefu wa shirika la chakula duniani WFP, Yum Brands amezindua wiki hii kampeni ya kukabiliana n

Sauti -

Mkuu wa UNESCO alaani shambulio kwenye msikiti wa kihistoria Timbuktu

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO Irina Bokova ameshutumu vikali shambulio

Sauti -

Biashara ya hewa ya ukaa bado kitendawili, gesi chafuzi zinazidi na umaskini ni kikwazo: Tanzania

Tanzania inaendelea na jitihada za kupunguza makali yatokanayo na mabadiliko ya tabianchi wakati huu ambapo jopo la kimataifa la Umoja wa Mataifa linalojadili mabadiliko ya hali ya hewa IPCC limetoa ripoti kwamba shughuli za binadamu ndio chanzo kikuu cha mabadiliko hayo.

Sauti -

Tumetimiza sehemu ya Malengo ya Milenia yaliyosalia tunapambana: Kikwete

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema kwa sehemu kubwa utekelezaji wa maendeleo ya milenia umefanikiwa nchini mwake licha ya kwamba yako malengo ambayo bado hayajafanikiwa matahalani usafi wa mazingira na kuanisha mipango iliyopo katika kuyatimiza.

Sauti -

Ban akutana na kuzungumza na rais wa Mali

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon ameendelea kukutana na wakuu mbalimbali wa nchi na kufanya nao mazungumzo ambapo leo amekutana na rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita.

Sauti -