Kabrasha la Sauti


UNICEF yapania kutokomeza ukatili wa ngono Mali

Taifa la Mali limekuwa katika mzozo wa kisiasa muda mrefu ambapo mapigano kati ya waasi na vikosi vya serikali yamesababisha mateso kwa wananchi wa taifa hilo .

Sauti -

Ban azungumza na Mwakilishi wa EU kuhusu hali Misri

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mwakilishi Mkuu wa masuala ya nchi za nje wa Jumuiya ya Ulaya, EU, Catherine Ashton, kufuatia ziara yake nchini Mi

Sauti -

Brigedi ya MONUSCO ya Kivu Kaskazini yapata mafunzo ya kurejesha amani na utulivu

Walinda amani 33 kutoka India wanao hudumu kwenye Brigedi ya kikosi cha

Sauti -

IOM yaongoza usajili wa waliopoteza makazi kwa vita Sudani Kusini na DRC

Kufuatia majadiliano ya kina ili kuruhusu kulifikia eneo lilioloathiriwa na vita jimboni Jonglei kusini kwa Sudan, mashirika ya misaada sasa yanaweza kufika eneo liitwalo Pibor ambapo mapigano kati ya jeshi la serikali na vikosi binafsi vyenye silaha, na mapigano ya kikabila yaliyozuka upya yamea

Sauti -

Kitabu cha anuani kuhusu waathirika wa biashara ya binadamu kuzinduliwa Tanzania:IOM

Kitabu maalum cha anuani, ruznama ,za mashirika ya kusaidia kupinga biashara haramu ya usafirishajii wa binadamu kilichochapishwa na shirika la kimataifa la uhamiaji , IOM, kinazinduliwa August 5 mjini Dar es salaam.Ruznama hiyo inatoa maelezo na anuani za mashirika ya kinadamu ya serikali, asasi

Sauti -

MONUSCO yatuma askari kuongeza ulinzi wa raia

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

Sauti -

Colombia yatokomeza ugonjwa wa Usubi:WHO

Shirika la afya duniani, WHO limethibitisha hatua ya Colombia kutokomeza ugonjwa wa macho aina ya Usubi unaosababishwa na minyoo, na hivyo kuwa nchi ya kwanza

Sauti -

Rafiki bora ni yule asiyeangalia maslahi yake pekee:Vijana Tanzania

Leo ni siku ya urafiki duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ni siku muhimu kwani urafiki baina ya nchi na nchi waweze kuepusha migogoro duniani.

Sauti -

WFP kulisha watu milioni tatu nchini Syria

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limepanga kulisha hadi watu milioni 3 nchini Syria.

Sauti -

Baraza la Usalama lalaani shambulizi la bomu kwenye ubalozi wa Uturuki Mogadishu

Wanachama wa Baraza la Usalama wamelaani vikali shambulizi la bomu la kujitoa mhanga kwenye jengo moja la ubalozi wa Uturuki mjini Mogadishu, Somalia, mnamo Julai 27, na ambalo lilisababisha kifo cha mtu mmoja na kuwajeruhi wengine kadhaa.

Sauti -