Kabrasha la Sauti


IOM yawasilisha msaada kwa wakimbizi 26,000:Syria

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria 26,000 familia zinazowahifadhi na familia za Kilebanon zinazorejea huko Kusini mwa Lebanon.

Sauti -

Kampeni ya chanjo ya polio Burundi baada ya tishio kutoka DRC

Serikali ya Burundi  kwa ushirikiano na  shirika la Afya Duniani WHO wameanzisha kampeni kabambe  dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa polio.

Sauti -

Mfumo mpya waanzishwa kuwezesha nchi kupata takwimu sahihi za misitu: FAO

Shirika la kilimo na chakula duniani,

Sauti -

Zerrougui azuru Syria kunusuru watoto.

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto na migogoro ya silaha Bi .

Sauti -

Baraza la Usalama laondoa vikwazo dhidi ya Iraq, laongeza muda wa UNDOF

Baraza la Usalama leo kwa kauli moja limepitisha azimio la kuiondolea nchi ya Iraq vikwazo vyote ilivyowekewa kutokana na uvamizi wake kwa taifa la Kuwait mwaka wa 1990 na madai ya kuwa na silaha za nyuklia na za kemikali.

Sauti -

UNICEF na washirika kutokomeza utapiamplo Burundi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikina an serikali ya Burundi na washirika wengine wa afya wanajitahidi kupambana

Sauti -

MONUSCO NA UNICEF zaitaka DRC ichunguze ubakaji wa watoto

Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, Roger Meece na Mkuu wa Shirika la Kuwasaidia Watoto katika Umoja wa Mataifa,

Sauti -

Amani yaimarika maradufu Liberia:UNMIL

Wakati makamanda wa vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa wakiwa wanakutana mjini New York kuwasilisha ripoti zao kuhusu hali ya amani katika nchi husika, mkuu wa kikosi ujumbe wa UM nchini Liberia UNMIL Leonard Kingondi amesema hali ya amani imeimarika nchini humo .

Sauti -

Haki za binadamu njia panda wakati machafuko yakishika kasi Iraq

Licha ya baadhi ya hatua kupigwa , haki za binadamu nchini Iraq ziko katika tishio kubwa kutokana na ongezeko la machafuko , imesema ripoti ya haki za binadamu iliyotolewa leo. George Njogopa na ripoti kamili.(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)

Sauti -

Ripoti mpya yaonyesha ukuaji wa uwekezaji wa kigeni katika nchi maskini

Ripoti mpya ya uwekezaji duniani mwaka 2013 inaonyesha kuwa uwekezaji wa moja kwa moja uliofanywa na wawekezaji wa kigeni katika nchi maskini, (FDI) uliongezeka kwa asilimia 20 mwaka 2012, na kufikia rekodi mpya ya dola bilioni 26.Ripoti hiyo ya kila mwaka ya uwekezaji uitwao Greenfield Investmen

Sauti -