Kabrasha la Sauti


UNSMIL yafuatilia mwenendo wa maandamano ya wananchi Libya

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Libya UNSMIL unafuatilia kwa karibu hali ya sintofahamu inayoendelea nchini humo ambapo katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamno mjini Tripoli, kuzunguka majengo ya wizara na taasisi nyingine za serikali.

Sauti -

Mkutano wa kwanza wa ILO wafanyika Myanmar tangu kupitishwa sheria ya uhuru wa kukusanyika

Mwaka mmoja baada ya serikali ya Myanmar kupitisha sheria za masuala ya kazi wajumbe kutoka mashirika 500 ya kazi wamekusanyika kwenye mkutano wa maalumu kujadili masuala ya ujuzi kazini , maamuzi ya pamoja na afya na usalama kazini miongono mwa ajenda nyingi zilizoandaliwa ambazo ni muhimu kwa w

Sauti -

IOM yaendesha mafunzo kwa wafanyabiashara wadogo wa Ethiopia

Shirika la kimataifa linalohusika na uhamiajI IOM, limefanikisha mpango wa utoaji mafunzo ya kibiashara kwa raia wa Ethiopia waliorejea nchini humo kwa hiari kutoka Misri na Libya

Sauti -

Bi. Robinson akutana na Rais Kabila mjini Kinshasa

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika nchi za Maziwa Makuu barani Afrika Mary Robinson ambaye ameanza ziara yake katika eneo hilo amekuwa na mazungumzo na Rais Joseph Kabila mjini Ki

Sauti -

Watanzania waadhimisha miaka 49 ya muungano mjini New York,watoa wito kero za Muungano zitatuliwe

 

Mwishoni mwa wiki Watanzania wanaoishi mjini New York na vitongoji vyake waliungana na watanzania wengine kuadhimisha miaka 49 ya muungano wa Tanganyika na Zainzibar ulioasisiwa mwaka 1964. Joseph Msami ameandaa makala ifuatayo kufahamu nini kilijiri katika siku hiyo.

Sauti -

Wanajeshi Mali wapewa mafunzo

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa lile la wakimbizi, UNHCR , pamoja na ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA yameendesha mafu

Sauti -

Ban ameteua Kay kumwakilisha huko Somalia, anachukua nafasi ya Balozi Mahiga

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteaua Nicholas Kay wa Uingereza kuwa mwakilishi wake maalum huko Somalia, akichukua nafasi ya Balozi Augustine Mahiga kutoka Tanzania anayemaliza muda w

Sauti -

UNMISS yakaribisha azimio la amani Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -

ILO kupeleka ujumbe Bangladesh kufuatia kuporomoka kwa jingo la Rana Plaza

Shirika la kazi duniani ILO linatapeleka ujumbe wa ngazi za juu nchini Bangladesh katika siku chache zijazo ili kusaidia na kuharakisha ha

Sauti -

UM wakaribisha mazungumzo ya kumaliza uhasama, Iraq, Kurdistan

Iraq na Kurdistan zimeanzisha majadiliano kwa shabaha ya kumaliza mivutano ya muda mrefu huku Umoja wa Mataifa ukiamini kupatikana kwa suluhu ya kudumu.

Maafisa wa pande zote mbili wamekutana kabla ya mawaziri wakuu kuwa na mkutano wao siku ya jumanne, mjini Bagdad.

Sauti -