Kabrasha la Sauti


Umoja wa Mataifa wawaenzi waathiriwa wa Utumwa kwa tamasha la muziki

Tarehe Ishirini na tano Machi ni Siku ya Kuadhimisha Utumwa na Biashara ya Utumwa ya Atlantiki.

Na mapema wiki hii Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilifanya hafla maalum ya kuwakumbuka na kuwaenzi waathirika wa utumwa na biashara ya utumwa.

Sauti -

Ban asifu MONUSCO kupatiwa mamlaka mpya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameunga mkono hatua aliyoitaja kuwa ni muhimu ya Baraza la Usalama kupitisha azimio juu ya Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo, DRC ambalo linaipatia ujumbe wa Um

Sauti -

MONUSCO yapatiwa mamlaka mpya ili kuimarisha amani DRC

Hatimaye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio namba 2098 ambalo pamoja na mambo mengine linapatia ujumbe wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ay Kongo, DRC,

Sauti -

Makambi ya wakimbizi wa ndani yalindwe zaidi:UM

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kulinda makambi ya wakimbizi wa ndani kufuatia shambulio la bomu lililotegwa kwenye gari kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani nchini Pakistan.

Sauti -

UNDP kukwamua wajasiriamali

Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa, UNDP  kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo umeanzisha mpango utakawawezesha wajasiriamali na sekta binafsi kwa ujumla kukuza kipato  kwa haraka na kwa njia rahisi.

Sauti -

UNICEF wawaandalia watoto wakimbizi mazingira rafiki

Zaidi ya wakimbizi elfu 68 kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia Rwanda kutafuta makazi kufuatia mapigano yanayoendelea Mashariki mwa nchi hiyo,  iliyotawaliwa na vita kwa miongo kadhaa.

Sauti -

Taifa la Mongolia latakiwa kutumia fursa zilizopo kuinua uwekezaji

Tathmini kuhusu uwekezaji kutoka kwa shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD inayopendekeza kuwa taifa la Mongolia linastahili kutum

Sauti -

UNICEF yasaidia watoto wakimbizi Rwanda

Kufuatia maelfu ya wakimbizi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kukimbia na kutafuta hifadhi katika nchi mbalimbali ikiwamo Rwanda, Shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia watoto

Sauti -

Ban amteua Meja Jenerali Edson Leal Pujol kuwa kamanda wa kikosi cha MINUSTAH nchini Haiti

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amemteua Luteni Jenerali Edson Pujol kutoka Brazil kuwa kamanda wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Haiti (MINUSTAH) .

Sauti -

Baraza la Usalama latilia shaka usalama wa Milima ya Golan

Baraza la Usalama limetaka pande zinazozozana nchini Syria kutohatarisha usalama wa watumishi wa Umoja wa Mataifa walioko katika milima ya Golani.

Sauti -