Kabrasha la Sauti


Global Fund yazindua utaratibu mpya wa kutoa ufadhili

Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria, Global Fund, umezindua utaratibu mpya wa kufadhili mapambano hayo, ambao utawahusisha wadau wote kikamilifu.

Sauti -

UNICEF yakomboa shule ziliizoteketezwa na kimbunga Madagascar

MADAGASCAR! Kisiwa ndani ya bahari ya HINDI kilichoko Kusini Mashariki mwa Afrika chenye idadi ya watu  zaidi ya milioni 22.

Kisiwa hiki kimekuwa kikikumbwa na vimbunga mara kadhaa! Vimbunga hivi vimekuwa vikiathiri sekta  mbalimbali za kiuchumi na kijamii.

Sauti -

UNAIDS na UNDP zaunga mkono pendekezo la kusaidia nchi maskini kuendeleza na kuongeza ugawaji wa dawa muhimu

Shirika linalohusika na masuala ya HIV na UKIMWI, UNAIDS na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP, leo yamezindu

Sauti -

UNICEF na washirika wakomboa watoto kutoka ajira migodini huko DRC

Ajira kwa watoto watoto ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokabili nchi zinazoendelea. Katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC hali ni mbaya zaidi.

Sauti -

UNICEF yaelezea kushtushwa na mauaji ya watoto 70 kwa makombora Aleppo

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limeelezea kushtushwa na ripoti za mauaji ya watoto 70 katika shambulizi la makombora

Sauti -

Mzozo wa Mali umesambaratisha elimu na riziki za watu: OCHA

Mkuu wa operesheni za Afisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) Bwana John Ging, amesema kuwa madhara ya mzozo wa Mali ni makubwa mno, mzozo huo ukiwa umeathiri shughuli zote za maisha.  .

Sauti -

Watoto, wazazi wajikita kwenye elimu huko Turkana

Imezoeleka ya kwamba sehemu kubwa ya jamii ya wafugaji imekuwa nyuma kielimu husuani katika elimu ya msingi ambapo watoto wenye umri wa kwenda shule wamekuwa hawafanyi hivyo. Badala yake, watoto hawa hutumia muda mwingi kuchunga mifugo nakufanya kazi nyingine za nyumbani.

Sauti -

Ban akutana na viongozi wa UAE Dubai na Abu Dhabi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Sheikh Mohammad bin Rashed Al Maktoum, ambaye ni Waziri Mkuu wa ufalme wa United Arab Emirates, pamoja na Waziri wa

Sauti -

Ban asifu makubaliano ya utaratibu wa kutafuta amani na usalama DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesifu hatua ya nchi kumi na moja za eneo la Maziwa Makuu kutia saini makubaliano ya utaratibu wa amani, usalama na ushirikiano kwa ajili ya Jamhuri ya K

Sauti -

Hatma ya amani DRC, macho na masikio yaelekezwa Addis Ababa

Hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC imeendelea kuwa gumzo kila uchwao kutokana na mazingira yasiyotabirika, ambayo hufanya wakazi wake kuendelea kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao iliyosheheni rasilimali lukuki; chini ya ardhi na juu ya ardhi.

Sauti -