Kabrasha la Sauti


Dkt Salim azungumzia uongozi Afrika na mustakhbali wa Sudan Kusini

Mwaka 2013 umefikia ukomo. Barani Afrika, mengi yametokea na mengine yanaendelea kutokea.

Sauti -

Miaka miwili na nusu toka Sudan Kusini ipate uhuru, hali si shwari

Mwezi Disemba mwaka 2013 ni miaka miwili na Nusu tangu Sudan Kusini ipate uhuru wake kutoka Sudan, baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Sauti -

Raia Ufilipino wahaha kutafuta makazi baada ya kimbunga

Baada ya kimbunga Haiyan kuikumba Ufilipino na kuathiri mamilioni ya watu, sasa maeneo ya uma ndio hutumiwa na baadhi ya raia kujihifadi baada ya nyumba zao kuharibiwa vibaya na kimbunga hicho.

K imbunga hicho kimkesababisha adha kadhaa kwa makundi ya watu

Sauti -

Mapigano, mafuriko vyatatiza maisha ya raia Somalia

Wakati macho na masikio ya jumuiya ya kimataifa yakielekezwa nchini Sudan Kusini ambako kuna mapigano ya kikabila, nchi nyingine iliyoko pembe yaAfrika,Somalianayo inakabiliana na changamoto ya mapigano ya kikabila.

Sauti -

Maisha ughaibuni si lelemama, yapaswa kujituma na kufanya bidii: Mhamiaji kutoka Tanzania

Ikiwa Disemba 18 ni siku ya wahamiaji duniani, Umoja wa mataifa unataka mazingira bora yawekwe kwa mamilioni ya watu ambao wanahama makwao na kwenda nchi za ugenini kwa sababu zinazotofautiana ikiwemo katika juhudi za kuimarisha maisha yao.

Sauti -

Miaka 50 ya uhuru wa Kenya yaenziwa New York

Taifa la Kenya limetimiza miaka 5o tangu lijipatie uhuru wake kutoka kwa wakoloni ,Uingereza.

Sauti -

Maafisa wa jeshi Sudani Kusini wafunzwa kuhusu ulinzi wa raia

Mafunzo maalum ya ulizni wa raia yaliyohusisha jeshila Sudani Kusini yamefanyika nchini humo huku kukiwa na taarifa za shambulio la kupinduliwa kwa serikali hatua iliyolaaniwa na Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Ukatili wa kijinsia wamulikwa nchini Tanzania

Hatimaye siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia zilizoanza tarehe 25 mwezi uliopita, zimehitimishwa wiki hii ya tarehe 11 Disemba.

Sauti -

Raia wa Guatemala anayejitolea Tanzania aeleza jinsi anavyoithamini kazi hiyo

Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kujitolea inaelezwa kuwa umuhimu wa siku hii ni katika kukuza amani na maendeleo duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema  mchango wa wanaoj

Sauti -

Tofauti ya lugha yaleta mkwamo kwa wakimbizi wa DRC huko Uganda

Upatikananji wa elimu ni changamoto ambayo bado inakabili baadhi ya nchi barani Afrika kutokana na umaskini na mizozo ya kisiasa na kijamii.

Sauti -