Sauti Mpya

Wanajeshi wa DRC na waasi washutumiwa kwa kuhusika kwenye vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu

Umoja wa Mataifa unasema kuwa kulingana na uchunguzi lililoendesha limebainisha kuwa wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo pamoja na wapiganaji wa kundi la M23 walitekeleza vitendo vinavyokiuka haki za binadamu wakati wa mapigano ya kutaka kuudhibiti mji wa Goma ulio mashariki mwa nchi hiy

Sauti -

Huduma za afya zisibugudhiwe wakati wa migogoro: WHO

Shirika la afya duniani, WHO limesema shambulio lolote dhidi ya wahudumu wa afya halikubaliki na kwamba migogoro au mapigano yoyote hayapaswi kubughudhi hudum

Sauti -

WFP kutoa mgao wa dharura wa chakula huko Yarmouk: Yahitaji fedha zaidi

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP litaanza kusambaza msaada wa dharura wa chakula kwa maelfu ya wakimbizi wa kipalestina waliokumbwa na mapigano kwenye kambi ya Yarmouk, iliyoko mji mkuu wa Syria, Damascus.

Sauti -

Waasi Mali vunjeni uhusiano na vikundi vya kigaidi: Azimio Baraza la Usalama la UM

Kwa kutambua athari za mzozo wa mali kwa amani na usalama duniani, hii leo Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio ambalo pamoja na mambo mengine linataka waasi nchini humo kuvunja mara moja uhusiano na vikundi vya kigaidi ikiwemo Al-Qaida na kuthibitisha hatua hiy

Sauti -

UNAMID yapata kiongozi mpya: Ni Mohamed Ibn Chambas

Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wamemtangaza Mohamed Ibn Chambas kuwa kiongozi mpya wa UNAMID ambao ni ujumbe wa pamoja wa pande mbili hizo wa kulinda amani kwenye jimbo la magharibi mwa Sudan, Darfur.

Sauti -

Dhuluma ya kingono imekithiri Jamhuri ya Afrika ya Kati: Bangura

Wanawake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ambao wamezingirwa na mzozo na kujikuta wakikumbwa na vitendo vya dhuluma ikiwemo kubakwa wamesema wamechoshwa na hali hiyo na sasa wanataka amani na wenzao wanaoshikiliwa na waasi waachiwe huru.

Sauti -

Makao makuu ya serikali ya mtaa yaibua mzozo Sudan Kusini, Wanawake na watoto wakimbia: UNMISS

Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini,

Sauti -

Zaidi ya wapalestina 100,000 waikimbia Syria

Maelfu ya wapalestina kwa sasa wanaendelea kuihama Syria kufuatia kuwepo mapigano makali yaliyotokea kwenye kambi ya Yarmouk mjini Damascus. Kambi hiyo ilishambuliwa kwa mabomu na ndege za kivita za Syria siku ya Jumapili kufuata tuhuma za kuwepo kwa waasi.

Sauti -

Watu 55 wafa maji huko Somalia: UNHCR

Watu hamsini na watano wakiwemo raia wa Somalia na Ethiopia wanahofiwa kufa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama kando mwa pwani ya Somalia siku ya Jumanne.

Sauti -

Maendeleo dhahiri yamepatikana katika ujenzi wa amani: Ban

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limekuwa na mjadala wa wazi kuhusu ujenzi wa amani baada ya migogoro ambapo Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amesema maendeleo ya dhati yamepatikana katika ajenda ya ujenzi wa amani.

Sauti -