Sauti Mpya

Mengi yalitimizwa mwaka 2012: WHO

Shirika la afya duniani WHO limefanya tathmini ya kazi yake mwaka 2012 hasa jitihada za kukabiliana na magonjwa likisema kuwa mengi yalitimizwa mwaka huu ikiw

Sauti -

UNHCR yasaidia waathirika wa vitendo vya Ubakaji huko Goma

Kliniki ya muda iliyoanzishwa kwenye kambi ya Mugunga mjini Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, DRC kwa ajili ya kusaidia wanawake waliokumbwa na visa vya ubakaji imeripotiwa kuwa mkombozi kwa makumi ya wanawake na wasichana waliokumbwa na mkasa huo.

Sauti -

Baraza la Usalama latoa tamko juu ya hali ya usalama huko Jamhuri ya Afrika ya Kati

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake juu ya hali ya Usalama huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kushutumu vikali mashambulizi yanayoendelea kufanywa na kikundi cha waasi kiitwacho SELEKA kwenye miji mbali mbali nchini humo.

Sauti -

Azimio la UM kwa UNEP ni la kihistoria na linatoa fursa zaidi kwa wanachama wa UM: Steiner

Mwezi Disemba mwaka 2012 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio kuhusuu shirika lake linalohusika na mazingira, UNEP.

Sauti -

Brahimi apendekeza serikali ya mpito nchini Syria

Msuluhishi wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya kiarabu kwa mzozo wa Syria Lakhdar Brahimi amependekeza serikali mpito nchini humo itayokuwa kwenye hatamu za uongozi hadi wakati kipindi cha utawala wa rais Bashar Al Assad kitapomalizika mwaka 2014.

Sauti -

UNICEF yazungumzia marufuku ya Urusi kwa Marekani kuasili watoto wa kirusi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limeitaka serikali ya Urusi kuzingatia maslahi ya watoto katika mapendekezo yake mapya ya k

Sauti -

IOM yasaidia waathirika wa mafuriko nchini Sri Lanka

Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji, IOM limeanza kutoa msaada kwa waathirika wa mvua kubwa, upepo mkali na maporomoko ya udongo yaliyokumba Sri Lanka wakati wa msimu huu wa sikukuu.

Sauti -

Ban alaani mashambulizi kwenye Jamhuri ya Afrika ya kati

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amelaani vikali mashambulzi yaliyoendeshwa kwenye miji kadhaa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati na kundi la waasi la SELEKA.

Sauti -

Dola 20 kila mwezi zitolewazo na UNICEF kwa kaya maskini nchini Kenya zabadili maisha

Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF wa kutoa msaada kidogo wa fedha kwa jamii maskini katika nchi zinazoendelea ili k

Sauti -

Vurugu Jamhuri ya Afrika ya Kati: UM wahamisha kwa muda baadhi ya wafanyakazi wake

Umoja wa Mataifa unahamisha kwa muda wafanyakazi wake wasio wa lazika kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati kutokana na kuzorota kwa usalama na kutotekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, licha ya waasi wa kikundi kiitwacho SELEKA kudai kuwa watasitisha na kuacha kusonga kuelekea mji mkuu Ban

Sauti -