Sauti Mpya

Waliobakwa DRC wana machungu kiasi cha kushindwa kusimulia ili wasaidiwe

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC matukio ya ukatili wa kingono ikiwemo ubakaji yanaendelea kutekelezwa kimfumo na vikundi vinavyopigana kwenye taifa hilo lililoshuhudia mapigano mara kwa mara. Flora Nducha na ripoti kamili. 

Sauti -
2'24"

Sasa kutakuwa na amani kati ya wakazi wa Boeing na PK5 mjini Bangui, CAR

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
1'39"

UNICEF yasaidia wana Kasese kukabili madhila ya mafuriko

Kutokana na mafuriko ya kila mwaka yanayoikumba wilaya ya Kasese nchini Uganda, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushiri

Sauti -
1'53"

Neno la Wiki - Hayati na Marehemu tofauti ni ipi?

Hii leo katika Neno la Wiki, Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anatofautisha maana ya maneno 'Hayati' na 'Marehemu'.  Katika uchambuzi wake wa maneno hayo yenye etimolojia ya kiarabu, anafafanua tofauti katika matumizi. Karibu!

Sauti -
1'14"

Sikiliza jinsi raia wa Kenya alivyonasuliwa kwenye zahma ya usafirishaji haramu

Na sasa ni wasaa wa mada yetu kwa kina ambayo leo inaangazia usafirishaji haramu wa binadamu na changamoto zake. Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na madawa na uhalifu UNODC inasema hili ni tatizo mtambuka linaloikumba dunia nzima na linalohitaji jududi za pamoja za kimataifa kupambana nalo.

Sauti -
5'55"

31 Julai 2020

Eid Mubaraka msikilizaji wetu na leo Ijumaa ni mada kwa kina tukimulika mwanamke aliyekumbwa na madhila ya usafirishaji haramu huko nchini Kenya na hatimaye kusaidia kurejea nyumbani. Lakini kuna muhtasari wa habari na neno la wiki, tofauti ya marehemu na hayati.

Sauti -
10'56"

Nilijifunza mtandaoni kutengeneza viungo vya chai kisha nikaboresha ujuzi SIDO- Emma Zibiliza 

Emma Zibiliza ni kijana msomi nchini Tanzania ambaye amesukumwa na mambo mawili ya msingi kuingia katika ujasiriamali.

Sauti -
4'3"

Tusipochukua hatua sahihi na kwa haraka, Amerika Kusini na Karibea watu watakufa- WFP

Shirika la Mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limeonya kuwa kuongezeka kwa njaa, uchumi unaoyumba, ukosefu wa usawa na msimu wa vimbunga vikali, vinatishia watu wa Amerika Kusini na Karibea na vinaweza kuwa na athari zaidi kama hatua za haraka hazitachukuliwa

Sauti -
2'29"

Madini ya risasi yazidi kuharibu ubongo wa watoto duniani- ripoti

Mtoto 1 kati ya 3 duniani kote ana kiwango cha juu cha madini ya risasi kwenye damu yake na idadi kubwa wako nchi za kusini mwa Asia, imesema ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,
Sauti -
2'2"

Licha ya COVID-19 wahudumu walio mstari wa mbele wanasaidia manusura wa usafirishaji haramu- UNODC

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu, Umoja wa Mataifa umepigia chepuo na kuwapongeza wafanyakazi walio mstari wa mbele kusaidia na kunasua watu waliosafirishwa kiharamu hususan wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
1'34"