Sauti Mpya

Baraza la Usalama laongeza muda wa UNAMID kwa kipindi cha mwaka mmoja

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limeongeza muda wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika jimbo la Darfur, UNAMID kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Sauti -

Ghasia zaidi zasababisha idadi ya Wasyria wanaokimbilia Usalama wao Kupanda

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, limeelezea wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa zaidi ya raia wa Syria walolazim

Sauti -

Wanawake wengi katika nchi za Jumuiya ya Ulaya wako hatarini kupoteza kazi

Ripoti moja iliyotolewa na shirika la kimataifa imesema kuwa wanawake ambao wanafanya kazi katika sekta za umma walioko katika nchi zilizoko kwenye Umoja wa Jumuiya ya Ulaya wanakabiliwa na hali ngumu iliyosababishwa na tukio la kupunguza ajira na kuondoka kwa marupurupu ya ujira.

Sauti -

Baraza la Usalama lataka suluhu Guinea Bissau

Baraza la Usalama zimetolewa mwito pande za kisiasa nchini Guinea Bissau kuanzisha majadiliano ya mezani ili kutanzua mkwamo unaendelea kuliandama taifa hilo ambalo liko Magharibi mwa Afrika.

Sauti -

Uzalishaji wa madini ya chuma waongezeka kufuatia kuboreka kwa sekta ya chuma

Ripoti kutoka kwa shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD inasema kuwa uzalishaji wa madini ya chuma uliongezeka mwaka 2011 kwa tani milioni 1.92 au asilimia 4.7 ikilinganishwa na mwaka 2010.

Sauti -

Kamishina Guterres aitembelea nchi ya Burkina Faso

Kamishina mkuu wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres anaanza ziara ya siku tatu nchini Burkina Faso hii leo kujionea hali ya zaidi ya wakimbizi 100,00 kutoka nchini Mali na athari zake kwa mataifa jirani.

Sauti -

Wakimbizi wanahitaji msaada ya dharura Ivory Coast:UM

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya wakimbizi wa ndani amesema kuwa wakimbizi wa ndani nchini Ivory Coast wanahitaji suluhisho likiwemo ya uhakika kwa usalama wao ili waweze kujenga upya maisha yao.

Sauti -

IOM yaendelea kuwasaidia raia wa Syria wanaokimbia na kuingia nchini Iraq

Tangu kufunguliwa kwa mipaka ya Iraq kwa wakimbizi kutoka Syria tarehe 24 mwezi Julai mwaka huu zaidi ya watu 2800 wamevuka mpaka na kuingia nchini Iraq.

Sauti -

Ban ahimiza nchi za G20 zifanye Mipango Inayouiana na Matokeo ya Rio+20

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amesema kushirikisha matokeo ya mkutano wa Rio+20 katika ratiba za nchi za G20 ni muhimu katika kufikia maendeleo endelevu.

Sauti -

Mkuu wa UNSMIS ahimiza pande zote Syria kuwazia mazungumzo badala ya migogoro

Mkuu mpya wa Waangalizi wa Umoja wa Mataifa nchini Syria UNSMIS, ametoa wito yazingatiwe mawazo ya mazungumzo badala ya mawazo ya malumbano na nguvu za kijeshi.

Sauti -