Sauti Mpya

Wito watolewa kuumaliza mzozo wa Syria na kuweka serikali ya mpito

Kundi la kuchukua hatua la Umoja wa Mataifa, limefikia makubaliano kuhusu hatua zinazohitajika kuchukuliwa haraka, ili kuumaliza mzozo wa kisiasa nchini Syria.
Sauti -

UNESCO yaorodhesha Kanisa la Kiasili na barabara ya mahujaji Bethlehem kwenye maeneo ya urithi

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, limeorodhesha Kanisa la Kiasili, ambako alizaliwa Yesu, na

Sauti -

Ushirikiano Wahitajika ili Kuondoa Tishio la LRA:UNOCA

Mwakilishi maalum na mkuu wa afisi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika ya Kati na maeneo yaloathiriwa na waasi wa LRA (UNOCA), Abou Moussa, ametoa wito kwa Baraza la Usalama na jamii ya kimataifa kuunga mkono utekelezaji wa mkakati wa kikanda wa Umoja wa Mataifa, na mchakato wa ushirikiano wa Muung

Sauti -

Taasisi zapanga kuongeza ujenzi wa madarasa Gaza

Taasisi kadhaa za kimataifa zimendua mpango wa pamoja wenye shabaha ya kuimarisha hali ya elimu katika eneo la Gaza.

Sauti -

UM Waungana na Sanaa ya Fasheni Kukabili njaa

Umoja wa Mataifa leo imetangaza kuanzisha mashirikiano ya karibu na waendeshaji wa sanaa za fasheni ili kukabiliana na tatizo la umaskini na kutoa msaada wa chakula kwa mamilioni ya wanawake na watoto wanaotabika duniani kote.

Sauti -

Amos aelezea Wasi Wasi Wake Kutokana na Hali ya Wakimbizi nchini Sudan Kusini

Mratibu wa huduma za dharura kwenye Umoja wa Mataifa Valerie Amos ameelezea wasi wasi uliopo kutokana na kuendelea kuzorota kwa hali ya kibinadamu kwenye majimbo ya Kordofan Kusini na Blue Nile nchini Sudan.

Sauti -

IOM yachimba Visima na Kujenga Matenki ya Maji kwenye Kambi ya Wakimbizi ya Doro Sudan Kusini

Shirika la la kimataifa la uhamiaji IOM limeanzisha zoezi la uchimbaji visima na kujenga jumla ya matenki mawili kwa minajili ya kuwahakikishia maji takriban wakimbizi 42,000 kwenye kambi ya Doro kwenye jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini.

Sauti -

Hadhi ya kuwa Mkimbizi kwa Wakimbizi nchini Angola na Liberia kufikia kikomo mwezi huu

Wakimbizi wanaoishi kwenye mataifa ya Angola na Liberia huenda wakapoteza hadhi za kuwa wakimbizi itimiapo tarehe 30 mwezi huu.

Sauti -

Sheria ya Marekani kuhusu Afya inaweza Kupunguza Mwanya katika Usalama wa Kijamii:ILO

Shirika la Ajira Duniani, ILO, limesema sheria ya kubadili mfumo wa huduma za afya Marekani inaweza kusaidia kupunguza mwanya wa usalama w

Sauti -

WFP yahofia Usalama wa Chakula Kenya kufuatia Uhaba wa Mvua

Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limesema hali ya usalama wa chakula nchini Kenya inatia wasiwasi kufuatia ukame uliofuatiwa na kiwango cha chini cha mvua.

Sauti -