Sauti Mpya

Uchaguzi mkuu na serikali iliyo wazi ni muhimu kwa demokrasia:Ban

 

Uchaguzi na serikali iliyo wazi ni muhimu sana katika kudumisha demokrasia amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon alipohutubia kikao cha bunge nchini Myanmar.

Sauti -

Hugh Masekela aelezea umuhimu wa Jazz duniani

Mwanamuziki mkongwe na mpiga trumpet mashuhuri kutoka Afrika ya Kusini Hugh Masekela na wanamuziki wengine wa Jazz wamefanya maandalizi ya kutosha siku ya Jumapili wakijiandaa kwa maadhimisho ya kwanza ya kimataifa ya siku ya Jazz.

Sauti -

Ofisi ya UM ya Haki za Binadamu yalaani mauaji ya mwandishi habari Brazil

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu OHCHR imelaani mauaji ya mwandishi wa habari kutoka Brazil.

Sauti -

Mkutano kuhusu wakimbizi wa Afhanistan kuandaliwa Geneva

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR na serikali ya Uswisi wanafadhili mkutano wa siku mbili wa kimataifa mjini G

Sauti -

WFP kuanzisha oparesheni za usambazaji chakula nchini Senegal

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linatarajiwa kuzindua operesheni ya usamabazaji wa chakula kwenye sehemu za vijiji kwenye eneo la Oukout nchini Senegal.

Sauti -

Ban ataka suala la maendeleo kuangaliwa upya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa jamii ya kimataifa inahitaji kutafuta mbinu mpya kuhusu maendeleo. Aliyasema hayo alipokabidhiwa shahada kwenye chuo cha Jamia Millia Islamia nchini India ambapo amesema kuwa kuimarika kwa uchumi hakutoshi.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)

Sauti -

Mkuu wa UNAIDS aenda Nigeria kuweka msukumo wa kuzuia maambukizi mapya

Mkuu wa shirika la umoja wa mataifa linalojihusisha na ukimwi UNAIDs Michel Sidibé,ameanza ziara ya siku mbili nchini Nigeria ambako anatazamiwa kuweka kipaumbele kwenye maeneo ya kukabiliaana na maambukizi ya virusi vya HIV.

Sauti -

Baraza la Usalama larefusha vikwazo kwa Ivory Coast

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja limerefusha muda wa vikwazo kwa Ivory Coast huku pia ikifanyia marekebisho vikwazo vinavyohusu usafirishwaji wa silaha.

Sauti -

Afisa wa masuala ya haki za binadamu wa UM kuzuru Burundi na DRC

Naibu mkuu wa masuala ya haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Ivan Simonovic anatarajiwa kutembelea Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuanzia tarehe 30 mwezi huu kwenye mipango ya kuboresha ushirikiano wa masuala ya haki za binadamu kati ya nchi hizo mbili .

Sauti -

IOM yatoa huduma za maji na usafi kwa wakimbzi kwenye jimbo la Abyei

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kutoa huduma za maji na vifaa vingine vya usafi kwa watu 700 kwenye eneo la Abyei waliolazimika kuhama makwao kufuatia makabiliano ya kijeshi kati ya Sudan na Sudan kusini.

Sauti -