Sauti Mpya

WFP yaanzisha mpango wa vocha kusaidia Wazimbabwe wenye HIV

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limeanzisha mpango wa ubunifu nchini Zimbabwe utakaosaidia kuwalisha walio katika shida na wengi wao ni wale wanaoishi na virusi vya HIV.

Sauti -

Herbie Hancock kujitokeza kwenye tamasha la kwanza la Jazz

Balozi wa hisani wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na elimu, sayansi na utamaduni UNESCO Herbie Hancock amesema kuwa

Sauti -

Zakir Hussain asema muziki wa Jazz ni ukombozi

Wasanii kadhaa tayari wameanza kukusanyika kwenye ukumbi wa Baraza Kuu kujiandaa na onyesho la kimataifa na mziki wa jazz uliopangwa kufanyika April 30.

Sauti -

Ban aitaka India kuboresha huduma za afya kwa wanawake na watoto

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameitolea mwito India kuchukua nafasi ya usoni juu ya uboreshaji wa huduma za afya kwa makundi ya wanawake na watoto, akisisitiza kuwa kuleta ufumbuzi wa pamoja kwenye maeneo hayo ni hatua muhimu kwa mataifa ya kusin mwa Asia.

Sauti -

UM wataka kila mfanyakazi kuhakikishiwa usalama kazini

Umoja wa Mataifa umesema kuwa usalama wa wafanyikazi ni lazima uwe sehemu ya mabadiliko kwenye uchumi uzioathiri mazingira huku ukionya kuwa iwapo ajira mpya zitachangia katika kutunza mazingira na kubuni nafasi mpya za ajira pia zinaweza kuwa na athari kwa wanaozifanya.

Sauti -

UNHCR yaandaa mkutano kuhusu wakimbizi wa Afghanistan

Wakati mkutano wa kimataifa kuhusu wakimbizi wa Afghanistan utafanyika Jumatano wiki hii mjini Geneva, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudmia wakimbizi

Sauti -

Mataifa ya Afrika yajadili kuanzisha mfuko wa Usalama wa Chakula:FAO

Uanzishaji wa mfuko wa Afrika kusaidia usalama wa chakula katika bara hilo ni suala lililojadiliwa katika mkutano wa kanda ya Afrika wa shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Afisa wa masuala ya Haki za Binadamu wa UM yuko ziarani Burundi

Afisa wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya haki za binadamu Ivan Simonovic leo ameanza ziara nchini Burundi ili kutathimini hali ya haki za binadamu katika taifa hilo lililotawaliwa na vita kwa muda mrefu na ambalo liko katika juhudi za kuanzisha hivi karibni tume ya ukweli na maridhiano

Sauti -

Watu milioni 11 wapoteza ajira zao ifikapo mwisho wa mwaka 2013:ILO

Idadi ya watu wanaopoteza ajira duniani inaendelea kuongezeka na hakuna dalili ya hali hiyo kuuimarika katika sik za usoni limesema shirika la kazi duniani

Sauti -

Sudan yawataka raia 12,000 wa Sudan Kusini kuondoka

Serikali ya Sudan imesema zaidi ya raia 12,000 wa Sudan Kusini wanapaswa kuondoka nchini humo katika kipindi cha wiki moja. Kwa mujibu wa gavana wa jimbo la White Nile kuwepo kwa raia hao katika eneo la Sudan kunasababisha tishio la usalama.

Sauti -