Sauti Mpya

UM walaani vitendo vya uvunjivu wa haki za binadamu Ivory Coast

Ripoti mbalimbali zimesema kuwepo kwa ongezeko kubwa la uvunjifu wa haki za binadamu nchini Ivory Coast, Umoja wa Mataifa umelaani hatua hiyo ambayo inadaiwa kufanywa na vikisi vya waasi na imetaka ikomeshwe mara moja.

Sauti -

Kuna fursa nyingi mwaka wa 2012:UNESCO

Shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO linasema kuwa mwaka 2012 utakuwa ni mwaka wa fursa nyingi.

Sauti -

Wanawake wajawazito waliothiriwa na dhoruba wapata usaidizi nchini Ufilipino

Mfuko wa Umoja wa Mataifa kuhusu idadi ya watu UNFPA unataoa usaidizi kwa wanawake wajazito walioathiriwa na dhoruba iliyoikumba ufilipino majuma mawili

Sauti -

Mfanyikazi wa UNICEF afariki kutokana na shambulizi la kigaidi nchini Nigeria

Mfanyikazi mwingine wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF ameaga dunia kufuatia shambulizi la kujitoa mhanga lililotekelezwa k

Sauti -

Serikali ya Sri Lanka yapambana na ugonjwa wa Kidingapopo

Maafisa wa afya nchini Sri Lanka wamesema kuwa wanafanya jitihada katika kupambana na ugonjwa unaosambazwa na mbu wa kidingapopo.

Sauti -

Mwaka 2011 ni mwaka wa mabadiliko:UNAIDS

Mwaka 2011 umetajwa kama mwaka wa mabadiliko hasa kwenye vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi. Suala la ukimwi limekuwa likionekana kuwa changamoto kubwa lakini sayansi, mchango wa kisiasa na kujitolea kwa jamii vimesababisha kuwepo kwa mafanikio katika vita dhidi ya ukimwi.

Sauti -

Wenyeji wa jimbo la Kordofan Kusini wazidi kuhangaishwa na mapigano

Shirika la kuratibu masuala ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa OCHA limesema kuwa wenyeji wa jimbo la Kordofan Kusini wanaendelea kuhangaishwa na mapigano kati ya wanajeshi wa Sudan na wale wa Sudan People’s Liberation Movement – North SPLM-N.

Sauti -

Ban azungumzia misukosuko ya kikabila Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea wasi wasi uliopo kutokana na kuendelea kuwepo misukosuko ya kikabila katika jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini ambapo watu kadhaa wameuawa huku ripoti zikisema kuwa kundi la vijana waliojihami kutoka jamii moja wanajiandaa kuvamia jamii nyin

Sauti -

UM wataka mashirika ya kiraia kujiingiza zaidi kwenye ujenzi wa Libya mpya

Mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ili kuleta mustakabal mwema hasa katika kipindi hiki cha mpito nchini Libya, ambacho kinashuhudia kuzuka kwa vita vya kikabila vyama vya kirai vinawajibika kutoa mchango mkubwa kufanikisha ujenzi wa enzi za siasa mpya nchini humo.

Sauti -

FAO na Jumuiya ya ulaya kuisadia Msumbuji kwenye sekta yake ya nafaka

Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa

Sauti -