Sauti Mpya

Matembele 'shata' au matembele afya?

Huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania katika eneo la Kidoti, Wilaya ya Kaskazini A, mafunzo  yaliyotolewa na chama cha wanahabari wanawake Tanzania, TAMWA visiwani humo yamekuwa na manufaa makubwa kwa wanakikundi cha Mwanzo Mgumu.

Sauti -
4'1"

UNICEF na IKEA wasaidia kuboresha lishe ya mama na mtoto India

Wiki ya unyonyeshaji duniani ikiendelea shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema sikua 1,000 za mwanzo za maisha ya mtoto t

Sauti -
2'43"

COVID-19 yaongeza machungu sekta ya utalii Kenya

Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 nchini Kenya limekuwa na athari kwa sekta ya uhifadhi wa wanyamapori na hivyo kuweka hatarini mustakabali wa wanyamapori kwenye hifadhi.

Sauti -
2'9"

Misaada ya kibinadamu pekee haitoshi kumaliza janga la njaa:IFAD

Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD umesema misaada ya kibinadamu pekee haitoshi kushughulikia janga kubwa la njaa linaloizogoma dunia hivi sasa kunahitajika hatua za kuijengea jamii mnepo kukabili janga hilo. Loise Wairimu na taarifa zaidi  

Sauti -
1'59"

03 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.
-Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD umesema misaada ya kibinadamu pekee haitoshi kushughulikia janga la COVID-19
Sauti -
11'50"

Waliobakwa DRC wana machungu kiasi cha kushindwa kusimulia ili wasaidiwe

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC matukio ya ukatili wa kingono ikiwemo ubakaji yanaendelea kutekelezwa kimfumo na vikundi vinavyopigana kwenye taifa hilo lililoshuhudia mapigano mara kwa mara. Flora Nducha na ripoti kamili. 

Sauti -
2'24"

Sasa kutakuwa na amani kati ya wakazi wa Boeing na PK5 mjini Bangui, CAR

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
1'39"

UNICEF yasaidia wana Kasese kukabili madhila ya mafuriko

Kutokana na mafuriko ya kila mwaka yanayoikumba wilaya ya Kasese nchini Uganda, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushiri

Sauti -
1'53"

Neno la Wiki - Hayati na Marehemu tofauti ni ipi?

Hii leo katika Neno la Wiki, Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anatofautisha maana ya maneno 'Hayati' na 'Marehemu'.  Katika uchambuzi wake wa maneno hayo yenye etimolojia ya kiarabu, anafafanua tofauti katika matumizi. Karibu!

Sauti -
1'14"

Sikiliza jinsi raia wa Kenya alivyonasuliwa kwenye zahma ya usafirishaji haramu

Na sasa ni wasaa wa mada yetu kwa kina ambayo leo inaangazia usafirishaji haramu wa binadamu na changamoto zake. Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na madawa na uhalifu UNODC inasema hili ni tatizo mtambuka linaloikumba dunia nzima na linalohitaji jududi za pamoja za kimataifa kupambana nalo.

Sauti -
5'55"