Sauti Mpya

UNODC na UNHCR watia saini muafaka kukabili usafirishaji haramu wa watu na wahamiaji

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uhalifu na madawa UNODC leo wametia saini muaf

Sauti -

Saif Al Islam huenda akajisalimisha ICC

Kuna taarifa kuwa huenda mtoto wa pili wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Qadhafi, akajisalimisha kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC

Sauti -

Ban alaani mauwaji ya waandamanaji Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali tukio la kushambuliwa waandamanaji wa Syria iliyosababisha watu kadhaa kupoteza maisha na ameitaka serikali nchini humo kuzuia matumizi ya nguvu kudhibiti maandamano hayo.

Sauti -

Sudan Kusini yajiunga na UNESCO

Shirika la elimu , Sayansi , na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limelikaribisha taifa jipya la Sudan Kusini ambayo ndiyo

Sauti -

Operesheni za Kenya na serikali ya mpito dhidi ya Al-Shabaab zikikamilika mambo yatakuwa shwari:Mahiga

Mwakilishi maalmu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia balozi Augustine Mahiga amesema ana matumaini operesheni za pamoja za kijeshi za serikali ya mpito na Kenya dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabaab zikikamilika hali ya amani itakuwa shwari Somalia.

Sauti -

Mkuu mpya wa mipango ya Usalama wa UM azuru Darfur

Mkuu mpya wa operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa amezuru kwa mara ya kwanza kituo kimoja kati ya 16 vya operesheni za Umoja wa Mataifa duniani.

Sauti -

Wafanyakazi wa UNHCR wauawa katika shambulio Afghanistan

Leo asubuhi shambulio la kupangwa lililohusisha watu wa kujitoa muhanga kwenye mji wa Kandahar nchini Afghanistan limeuwa wafanyakazi watatu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Ushirika katika kilimo ni muhimu kwa kupunguza umaskini na njaa:FAO, IFAD WFP

Wakulima wadogowadogo wanafaidika sana kwa ushirika wa kilimo ikiwemo uwezo wa kushawishi masuala ya bei na kushirikiana rasilimali ambazo zinasaidia kupunguza umasikini na kuleta usalama wa chakula kwa mamilioni ya watu limesema shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Nchini Somalia hali bado ni tete lakini matumaini ya amani bado yapo:Mahiga

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga amesema hali ya usalama nchini Somalia bado ni tete lakini kuna matumaini kuwa punde mambo yataanza kuwa shwari.

Sauti -

Dunia inaelekea mtafaruku mkubwa wa ajira:ILO

Tathimini iliyotolewa na shirika la kazi duniani ILO katika mkesha wa kuanza kwa mkutano wa viongozi wa G-20 inasema uchumi wa dunia uko k

Sauti -