Sauti Mpya

UM walaani ghasia za kuipinga serikali zinazoshuhudiwa nchini Malawi

Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Ravina Shamdasani ametaka kusitishwa kwa ghasia nchini Malawi kufuatia ripoti za kuuawa kwa waandamanaji kadha na wanajeshi wa serikali juma lililopita.

Sauti -

Jitihada za AMISOM kulinda amani nchini Somalia

Makala yetu wiki hii inaangazia jitihada za kikosi cha kulinda amani cha muungano wa Afrika nchini Somali cha AMISOM katika kuweka usalama na kukabiliana na makundi yaliyo na nia ya kuiangusha serikali ya mpito ya Somalia na pia katika kuhakikisha kuwa misaada imewafikia mamilioni ya watu ambao

Sauti -

UM wahaidi kuendelea kuisadia Pakistan

Umoja wa Mataifa umehaidi leo kuwa utaendelea kuipiga jeki Pakistan katika wakati ambapo nchi hiyo inaendelea kujitutumua kujijenga upya baada ya mafuriko ya mwaka uliopita yaliyosababisha hasara kubwa.Mafuriko hayo ambayo ni tukio kubwa kuwahi kuikumba nchi hiyo, yalisambabisha zaidi ya watu mil

Sauti -

Kuna haja ya kuwa na mchakato wa ufikiaji suluhu Libya-UM

Umoja wa Mataifa umeainisha hatua zinazoweza kuzika mzozo wa Libya kwa kusema kuwa lazima kuanzishwa mchakato wa maridhiano ili kukaribisha kipindi cha mpito kuelekea kwenye maamuzi ya umalizwaji wa mzozo huo.Kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya kisiasa ndani ya Umoja huo wa Mataifa, Libya inapas

Sauti -

Ban kumchagua mwanadiplomasi wa Uholansi kumwakilisha Afrika Magharibi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametangaza kusudio lake la kutaka kumteua mwanadiplomasia wa Uholansi kuwa mwakilishi wake nchini Ivory Cost na kusimamia vikosi vya kulinda amani katika eneo la afrika magharibi.

Sauti -

UNICEF yasherekea wiki ya kunyonyesha duniani

Huku dunia ikisherehekea wiki ya kunyonyesha shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeungana na mashirika mengine duniani kuuta

Sauti -

UNESCO yalaani mauaji ya waandishi wa habari nchini Mexico na Brazil

Shirika la Umoja wa Mataifa linalotetea uhuru wa wanahabari hii leo limelaani vikali mauaji ya waandishi wa habari nchini Mexico na Brazil mataifa ambayo pia waandishi wa habari kadha wameuawa mwaka huu.

Sauti -

Serikali ya Eritrea ilipanga mashambulizi dhidi ya mkutano wa AU: UM

Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa nchi ya Eritrea ilipanga mashambulizi makubwa kwa mkutano wa muungano wa nchi za Afrika AU uliondaliwa mapema mwaka huu nchini Ethiopia .

Sauti -

Mapigano mjini Mogadishu yahatarisha maisha ya raia

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasema kuwa mapigano mapya yanayoendelea kati ya vikosi vya serikali na kun

Sauti -

Mamia ya Wasomali wanaokimbia njaa watembea kwenda Kenya

Kenya imeufunga mpaka kati yake na Somalia wakati ambapo watu wanapojaribu kukimibia njaa kusini na kati kati mwa Somalia kwa miguu. Kambi ya Daadab ambayo kwa sasa ni makao ya wakimbizi 360,000 inawapokea wakimbizi zaidi.

Sauti -