Sauti Mpya

UM utaendelea kushirikina na viongozi wa Afrika kuhakikisha kuwa uchaguzi ni njia ya kuleta amani:MIGIRO

Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose Migiro amesema kuwa Umoja wa Mataifa utaendelea kushirikiana kwa karibu na viongozi wa kiafrika katika kujenga na kudumisha amani ili kuhakikisha kuwa uchaguzi ni mwelekeo wa kuleta amani na wala si ghasia.

Sauti -

Ban ataka wanaowashambulia watoto kwenye mizozo kuchukuliwa hatua

Akiongea kwenye mkutano ulioandaliwa na mjumbe maalum wa masuala ya watoto na mizozo Radhika Coomaraswamy pamoja na balozi wa Ujerumani kwenye Umoja wa Mataifa Peter Wittig, Ban amesema kuwa kando na kutaja na kuaibisha pia wana njia  watakayotumia kulinda shule na hospitali zilizo kwenye maeneo

Sauti -

Mahakama ya kuchunguza mauaji ya Rafik Hariri yatangaza waranti wa kukamatwa

Mahakama inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa inayochunguza mauaji ya aliyekuwa waziri mkuu wa Lebanon Rafik Hariri imetangaza waranti nne kwa watu wanaoshukiwa kuhusika kwenye mauaji hayo.

Sauti -

China imevunja makubalino ya kimataifa ya kupambana na ukwepaji wa sheria

China imeshutumiwa kwa kumualika rais wa Sudan Omar El Bashir na kushindwa kumkamata kulingana na waranti uliotangazwa dhidi yake na mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya

Sauti -

UM waomba uwekezaji zaidi kwenye masuala ya haki za binadamu

Pillay amesema kuwa jitihada za kulinda haki za binadamu hasa baada ya kushuhudiwa ghasia Kaskazini kwa bara la Afrika , Mashariki ya kati na nchini Ivory Coast zimeigharimu pakubwa ofisi yake.Amesema kuwa hali ya haki za binadamu kwenye sehemu mbali mbali duniani hunda zikakosa kushughulikiwa i

Sauti -

Wafanyakazi wawili wa WFP waliotoweka wapatikana wakiwa salama

 

 

 

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limedhibitisha kuwa wafanyikazi waliokuwa wametangazwa kutoweka wamepatikana wakiwa salama. Wafanyikazi hao walitoweka baada ya kutokea kisa kwenye eneo moja la kisomalia Mei 13 mwaka huu.

Sauti -

Libya yatajwa kuwa changamoto kubwa kwa Gabon ikiwa rais wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa

 

 

Messone alikuwa ameandaa mkutano na muungano wa Afrika na baraza la usalama la Umoja wa Mataifa akiwa na matumani ya kuafikia makubalino kuhusu njia ya kuishughulikia Libya.

(SAUTI YA NOEL NELSON MESSONE)

 

Sauti -

UM wazitaka nchi za Ulaya na Asia ya Kati kuachana kuwapeleka watoto kwenye vituo vya kulelea

 

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamezitolea mwito nchi za Ulaya na Asia ya Kati kuachana na mwenendo wake wa kuwahifadhi watoto kwenye maeneo inayotumia kuwatunzia watu wasiojiweza kwani uzoefu unaonyesha kuwa mwenendo kama huo unazua kitisho cha ustawi kwa watoto wengi.

Sauti -

Baraza la usalama la waongezea muda majaji wa kesi ya Yugoslavia

 

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwaongezea mipaka ya utendaji majaji wanaoendesha kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu ulitendeka wakati wa machafuko ya Yugoslavia katika miaka 1990.

 

Sauti -