Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Amani na Usalama Hali ya kukata tamaa, hofu kubwa na mshtuko inawagubika wanawake wa Sudan katika mgogoro  ambao umeacha nusu ya umma katika nchi hiyo yenye takriban watu millioni 50 wakiwa na uhitaji mkubwa wa msaada wa kibinadamu, kwa mujibu wa mkurugenzi wa kanda kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi UNFPA, Laila Baker.

Habari Nyinginezo

Afya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni (WHO) limetangaza kuidhinishwa kwa chanjo ya MVA-BN kama chanjo ya kwanza dhidi ya ugonjwa wa mpox. Hatua hii inatarajiwa kurahisisha upatikanaji wa haraka wa chanjo hiyo, hususani katika maeneo yaliyoathirika zaidi, ili kupunguza maambukizi na kudhibiti mlipuko wa ugonjwa huo hatari.