Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Amani na Usalama Hofu na wasiwasi zinazosababishwa na vita vinavyoendelea Gaza zinasababisha aina mbalimbali za matatizo ya usemi, ikiwa ni pamoja na kigugumizi miongoni mwa watoto wadogo, kwa mujibu wa mtaalamu wa tiba  aliyehojiwa na Umoja wa Mataifa.

Habari Nyinginezo

Afya Shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na Ukimwi, UNAIDS  hii leo limetoa ripoti yake huko Geneva, Uswisi ikionesha kuwa mzigo wa madeni unaokabili nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara unasababisha zibakie na fedha kidogo kugharimia huduma za afya, pamoja na huduma muhimu zaidi dhidi ya Virusi vya Ukimwi, VVU.
Amani na Usalama Mashambulizi ya mara kwa mara ya Urusi dhidi ya miundombinu ya nishati na kukatwa kwa umeme nchini Ukraine huenda yakang'oa watu wengine 500,000 kwenda nje ya nchi kabla ya msimu wa baridi unaokuja, wamesema leo wachunguzi wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa.