Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Malengo ya Maendeleo Endelevu Ngamia ni mnyama muhimu katika maeneo ya ukame au baridi kali anakotumika kwa shughuli mbalimbali ikiwemo usafiri, chakula kupitia maziwa na nyama yake, kuwawezesha wanawake kiuchumi na pia kulinda mazingira.

Habari Nyinginezo

Utamaduni na Elimu Tarehe 21 Februari kila mwaka ulimwengu unaadhimisha siku ya lugha mama ambayo mwaka huu Kali mbiu yake ni “Elimu ya Lugha nyingi ni nguzo ya kujifunza kati ya vizazi.” 
Wanawake Kunapozuka mizozo na machafuko wananchi wote wanaathirika kwasababu maisha yao yanaparanganyika kabisa tofauti na walivyokuwa wamezoea. Watoto waliokuwa wakienda shule sasa hawaendi, si wafanyabiashara, wakulima wala viongozi wa dini wanaotekeleza majukumu yao ya kila siku na suala moja lililo kweli kwa kila mtu ni kuwa wanatafuta kila namna ya kuokoa maisha yao na wengi njia hiyo huwa ni kukusanya virango vyao kidogo wanavyoweza kubeba na kukimbia kuokoa nafsi zao.