Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Amani na Usalama Habari potofu na za uongo zimekuwa kikwazo kikubwa katika operesheni zetu za ulinzi wa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, amesema Brigedia Jenerali Alfred Matambo, Mkuu wa Kikosi cha Kujibu Mashambulizi, FIB cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO.

Habari Nyinginezo

Afya Mtoto 1 wa kiume kati ya watoto 5000 duniani anaugua ugonjwa wa Duchenne Kwa viwango vya sasa vya huduma, watu wenye Duchenne wanaweza kuishi hadi umri wa miaka 30. Kwa sasa ugonjwa huu hauna tiba.
Afya Kwa mabilioni ya watu katika ulimwengu unaoendelea, hasa watoto na wanawake, muda wa chakula huanza kwa kuwasha jiko la mafuta ya taa, kuwasha jiko la mkaa au kuwasha moto magogo.