Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Afya Aissata Touré, mwenye umri wa miaka 16, ndio kwanza amejifungua mtoto wake wa kwanza. Mama huyu ambaye naye ni mtoto, alikuwa na matumaini ya kjifungulia karibu na kijiji chao cha Ngouma nchini Mali, lakini mhudumu wa afya alimshauri aende hospitali kutokana na uwezekano wa kupata tatizo wakati wa kujifungua. Ilikuwa safari yenye changamoto na gharama kubwa.

Habari Nyinginezo

Msaada wa Kibinadamu Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP leo limetia saini mikataba miwili na Saudi Arabia yenye thamani ya dola milioni 1.4 ili kutibu na kuzuia utapiamlo nchini Sudan na Sudan Kusini.
Ukuaji wa Kiuchumi Wiki ya uendelevu kwenye Umoja wa Mataifa imeingia siku ya pili hii leo ambapo mawaziri kutoka nchi mbali mbali wanachama wa Umoja wa Mataifa wamejinasibu ni kwa vipi sekta hiyo inaweza kuchochea mafanikio ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.