Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Amani na Usalama Haiti inakabiliwa na ghasia zilizoenea za magenge ya uhalifu, taasisi za nchi hiyo ziko kwenye hatihati ya kuporomoka na raia wake wanakabiliwa na changamoto za kila siku za kuweza kuishi. Hata hivyo, katikati ya janga hili la usalama na kibinadamu, Umoja wa Mataifa unaendelea kutoa msaada muhimu kwa watu walioathirika.

Habari Nyinginezo

Amani na Usalama Mgogoro mbaya huko Gaza umeendelea, pamoja na vurugu za kila siku katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa, amesema Tor Wennesland, Mratibu Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Mchakato wa Amani ya Mashariki ya Kati akihutubia Baraza la Usalama leo (26 Machi) jijini New York, Marekani.
Sheria na Kuzuia Uhalifu Ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Hatua Maalum za Ulinzi dhidi ya Ukatili na Unyanyasaji wa Kingono imewekwa wazi hii leo.